Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,081
- 10,455
Aje kutumbua majipu
AlaaaaaaArusha aenda kufanyA nini??? Kwanini asiende Chamwino kuwaona wananchi wake walompigia kura wanakula funza, inamaana hajasikia? Au nimachotara
Sio kweli Arusha hawategemei Mikutano, wanategemea (1) Utalii na serekali imeshindwa kutenga budget ya kutosha kutangaza utalii na hio pesa kidogo wanayopewa wanatuma watu wasioweza kutangaza bali kutalii, pia makampuni makubwa yanamilikwa na watu wa nje hivyo pesa inabaki nje (2) Wanategemea Tanzanite ila ilishauzwa kwa makaburu kiini macho!!!!!!!!!Inabidi arusha irudi kwenye hadhi yake ya Jiji mikutano mingi ifanyikie hapo kama zamani. Miaka mitano iliyopita imerudisha sana Maendeleo ya wanaarusha
we bila shaka ni mtu mwenye roho mbaya na mshirikina huez mpangia rais wa jamhuri wapi PW kwnda na hao funza chamwino ulikula nao au unatafuta umaarufu tu hapa jf
Hawezi huko ndio chama kinapatia pesa za uchaguzi na viongozi wanakula,ni maigizo yataendeleaNia na lengo kuu la JPM arusha ni kutumbua majipu sugu Tanapa. Ataanzia geti la Serengeti ,mamlaka ya hifadhi Ngorongoro(anamtumbua Sezary) na kumalizia kwa kumuondoa Kijazi Headquarter.
Hawezi hata gusa subiri uoneNi kesho.......wale waliopo mfukoni kwa Fazal labda kesho watatoka............
Naona wagogo ni machotaraArusha aenda kufanyA nini??? Kwanini asiende Chamwino kuwaona wananchi wake walompigia kura wanakula funza, inamaana hajasikia? Au nimachotara
ni kweli na Lema alikuwa anahisiwa sana kujishughulisha na mambo hayo sijui kwa nini.Teeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeh wakati wa mbunge wa ccm arusha ilikuwa kichaka cha majangili
Hawezi hata gusa subiri uone
Lema ana meli iliyokamatwa na mzigo kule majuuu,manyumbu hata hawajitambui hata ukiwapa mtego kidogo yanaingia kwa miguu yoote minneni kweli na Lema alikuwa anahisiwa sana kujishughulisha na mambo hayo sijui kwa nini.
Nitoe tongo tongo, ni Fazal au Faizal yule mwenye tz1?Ni kesho.......wale waliopo mfukoni kwa Fazal labda kesho watatoka............
Binamu ingekuwa Hizbu tungeshasikia tani za mahindi zikishushwa Na ziara za kushtukiza kibao wakipeana zamuAlaaaaaa
Binamu hao ni Hizbuuuuu
Nitoe tongo tongo, ni Fazal au Faizal yule mwenye tz1?
Hapana binamu...Hizbu hawatakiwi kabisa nchi hii...ndio hao machotaraBinamu ingekuwa Hizbu tungeshasikia tani za mahindi zikishushwa Na ziara za kushtukiza kibao wakipeana zamu