gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Pitia tanesco arusha rais wangu waulize umeme niaje mbona wa manatimanati.Kama vipi mtengue meneja mkoa wa arusha weka mwingine.Aaaaaagh!Bastards!
Ni kesho.......wale waliopo mfukoni kwa Fazal labda kesho watatoka............
Sababu ya Magesa Mulugo. Na sasa anataka Mwanza nayo mambo yawe yaleyale! Kesha anza kuzipiga na RAS wake kwa kumuita Alshabab eti kwa vile ana asili ya usomali. Ngoja Kinana nae aje sijui atamuitaje!Inabidi arusha irudi kwenye hadhi yake ya Jiji mikutano mingi ifanyikie hapo kama zamani. Miaka mitano iliyopita imerudisha sana Maendeleo ya wanaarusha
Hayawi hayawi, yamekuwa. ....
Na boss mkubwa wa Uhamiaji amepigwa ban kwa muda. .....
Akikuta mnapolish reception badala ya kupiga kazi anawafukuza kazi wote!Jamani jamani.......tusipolish hata fenicha za reception........?..........
Ohoo.......sasa kuna kitu nasubiri......nikiona kimefanyika nitajua majipu yanapasuka......kumpiga ban na kunyamaza kama walivyofanya kwenye makontena haitoshi..........wanashikashika weeeeeee.........halafu basi.......
Anakwenda tma monduli kwa ajili ya kuwavisha vyeo wanajeshi.Na sio ziara yoyoteKwa habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. John Pombe Magufuli anatarajia kufanya ziara mkoani Arusha kesho tarahe 21 Januari kwa mara ya kwanza tangu aapishwe. Nia na madhumuni ya ziara hiyo bado haijajulikana. Stay tuned kwa taarifa zaidi.
Nimependa hizo phrase mbili za mwisho!Ohoo.......sasa kuna kitu nasubiri......nikiona kimefanyika nitajua majipu yanapasuka......kumpiga ban na kunyamaza kama walivyofanya kwenye makontena haitoshi..........wanashikashika weeeeeee.........halafu basi.......
Wewe ni nani wa kumchagulia mahali pa kwenda Rais?!?!?!Arusha aenda kufanyA nini??? Kwanini asiende Chamwino kuwaona wananchi wake walompigia kura wanakula funza, inamaana hajasikia? Au nimachotara
Ikwanja unatakaje kujua aina ya usafiri atakaotumia Rais hebu kuwa mstaarabu na viswali vyako mboga wote hatujui na sio kazi yetu kujuaamesema anenda kwa usafiri gani??
Acha wivu wewe ,piga kaziAtakutana na mabilionea wa Arusha? Maana Arusha ukimnunulia mtu supu ya ulimi na ndizi mbili unaitwa bilionea.
Mh acha kutustua mkuu yan hapa matumbo joto sijui ataanza kushtukiza wapi ngoja tusubirTayari jipu la A-town limeishaiva!