Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,155
mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara nne kuelekea kilimanjaro, ukiendelea sasa katika hatua za awali za ujenzi wa madaraja , ni ishara tosha kua serikali ya awamu ya tano haina ubaguzi wowote kama chadema wanavyotaka tuamini, ingawa kwa baadhi ya majimbo chadema waliongoza kwa wingi wa kura katika nafasi ya urais, bado serikali hii inawajali wana arusha..