OkNimesikia wakisema anaitwa Zuher Fazal..............
Huyu Mpuuzi fulan hivLiambie ukweli gamba hilo
Kule atakutana na mbunge wa cdmAlisema ziara za kawaida mikoani ataanzia Ukerewe
Atapita leopard tour?
Napenda JPM aende hapo kwa kushtukiza halafu tusikie wale wanaosema wameiweka serikali mfukoni. Mbona wataisoma namba.Lazima.......jamaa hawezi tukana serikali kiasi kile akaachwa........tena kwa muda mrefu bila kuulizwa.........yeye nani bana.......
Napenda JPM aende hapo kwa kushtukiza halafu tusikie wale wanaosema wameiweka serikali mfukoni. Mbona wataisoma namba.
Magufuri oyeee, ccm mbele kwa mbele. Wacha waisome namba. Hapa kazi tu.
Kwani siyo mtanzania?Lazima.......jamaa hawezi tukana serikali kiasi kile akaachwa........tena kwa muda mrefu bila kuulizwa.........yeye nani bana.......
Unamzungumzia Ayatollah yupi huyu wa bongo au?Kuna giriki flani liliwahi kusema limeweka serikali ya mwalimu mfukoni........lilijikuta linaombewa msamaha na papa......huyu sijui ataombewa na Ayatollah Khomeini...........
umenisaidia sana....nilihisi naota
Kwani siyo mtanzania?
Mbona huyo kasema sasa?Ukiwa Mtanzania unaruhusiwa kusema serikali ipo mfukoni kwako.............?......
Yeye anataka kazi tu na siyo kusafisha ofisi!Anakuja kuzungumza na Fazal nini.........?..........uwiiii.......ngoja tusafishe ofisi.........
Mbona huyo kasema sasa?
Yeye anataka kazi tu na siyo kusafisha ofisi!
Ahlaaa kumbe?Basi sawa.......hakuna namna nyingine.........