Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dr. John Pombe Magufuli anatarajia kufanya ziara mkoani Arusha leo tarahe 21 Januari kwa mara ya kwanza tangu aapishwe. Nia na madhumuni ya ziara hiyo bado haijajulikana. Stay tuned kwa taarifa zaidi.