jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,243
Ana haki ya kusema hivyo coz hata uchumi udorore vipi mshahara na posho yake viko palepaleRais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni Nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!
Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weredi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
Rais wa Tanzania ndugu John Pombe Magufuli amemtaka Balozi wa Uingereza hapa nchini akawaeleze mabalozi wenziye hasa wanaopenda ku-tweet tweet kwamba Tanzania ni Nchi huru na inayojiamulia mambo yake yenyewe na kamwe haiyumbishwi na haitayumbishwa na yeyote!
Pia, amempongeza Balozi huyo wa Uingereza kwa namna anavyotimiza majukumu yake hapa nchini kwa weredi na ndivyo wawakilishi nchi nyingenezo hapa nchini wanapaswa wawe.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jikeHii sera ya kuwakoromea mabeberu na yenyewe imo ndani ya ilani?
Ubabe wa kikolomije kichato chato huku wakiwa busy kuwaomba omba misaada wakiwaita wahisani wafadhili lakini wakikataa ujinga wao huwageuka na kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jikeHuu ubabe hauna maana
Kazi ipi? Maana miradi yote mikubwa ina 10% za wajanja wachache huko CCM, au hapa kazi tu watu wa TRA kufunga biashara kufanya account kuwabambikia kodi kubwa baadhi ya wafanyabiashara ili wapate kuharalisha kuwapora mali zaohapa kazi tu