Kama kigezo ni lugha, kwani UN huwa wanazungumza lugha gani?Ulichoandika ni kweli tupu Mkuu, kuhusu kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa hilo sahau kabisa atazungumza kwa lugha ipi kwenye kikao hicho cha Umuja wa Mataifa? Ni lazima tutasikia Mama Samia atamuwakilisha kama siyo Majaliwa.
Miafrika ndivyo ilivyo. ......
Naomba kuuliza hivi huu Mkutan ni wa chama au ni mkutano wa Kiserekali? Mbona siskii hotuba kuhusu Viwanda, barabara maji......
Mgawanyo wa madaraka,
Unaweza kunitajia hasara tulizopata Kama taifa kwa yeye kukosa kuhudhuria hiyo mikutano uliyotaja?
Kuhus lugha, nimekuuliza Putin huwa anatumia Lugha gani? Gaddafi alikua akitumia Lugha gani? Rais wa China huwa anatumia Lugha gani?
Swadakta nyani ngabuMambo Halima...
Swadakta nyani ngabu
Vp Leo ulivyoenda kanisani ulimuombea mtukufu yohana yusufu [emoji481] [emoji356]
Msije omba itokee Katiba ibadilishwe huyu jamaa akiwa juu mjue mmekwisha anajiongezea Muda na awe Hadi kifo kitutenganishe....
Unachagua uliyo na uwezo nayo tu,vipi kuhusu kusema anamshangaa shein kuendelea kumpa stahiki zake Maalim seif ambazo zipo kikatiba kisa kamnyima mkono!Hii ni ishara ya udikteta,huwezi vunja katiba kisa hisia zako binafsi!Shame on him na wote wanaoita kinyesi kekiKudhani ni haki yako na kuishia kudhani huku ukitoa hitimisho ni dalili ya watu ambao hawana uwezo mkubwa kifikra au wamechoka kifikra.
Wanasayansi huwa haishii kudhani bali huwa wanautafuta ukweli.
Kama ni ukatili na visasi basi hata Mwenyezi Mungu ana ukatili na visasi kwa sababu aliwahi kuua watu ambao hawakukubaliana na alichokisema na kukitaka!
Tumezoea siasa za kinafiki kiasi kwamba anachokisema mwanasiasa siyo kile anachoimanisha au kukitenda.
Rais Magufuli anakuambia na kukitenda kile anachokisema.
Hiyo dhana ya udikteta ni hisia tu kama zilivyo hisia zingine za kibinadamu.
Jielimishe zaidi kupitia The Presidential Affairs Act Cap. 9 (RE: 2002).
Hakuna sheria inayomtaka Rais wa Tanzania kwenda UN.
Ikumbukwe kuwa, Katiba ya Tanzania 1977 katika Ibara ya 34(4) inasema;
‘’Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano’’.
Katiba inasema Rais anaweza kukasimu madaraka kwa kiongozi yoyote ili kumuwakilisha UN.
"Mtu huyo aliyekataa mkono wako anakula ruzuku yako?"Mtu anazungumzia waziwazi uvunjaji wa sheria sababu ya visasi.
Kuna usemi wa ficha upumba.vu wako, usifiche hekima yako.
Jamaa akifungua tu mdomo wake anaondoa mashaka yote kuwa yeye ni dikteta!
Kuna mtu humu kasema hata angemfumania na mke wake leo usiku, na kesho yake kuna faili la mgoni wake anatakiwa asaini tu, halafu mambo hayo binafsi watamalizana wenyewe hapo baadaye. Mambo yaliyopo kisheria unayaunganishaje na mambo ya "nyumbani"?Unachagua uliyo na uwezo nayo tu,vipi kuhusu kusema anamshangaa shein kuendelea kumpa stahiki zake Maalim seif ambazo zipo kikatiba kisa kamnyima mkono!Hii ni ishara ya udikteta,huwezi vunja katiba kisa hisia zako binafsi!Shame on him na wote wanaoita kinyesi keki
Wewe ni mpuuzi,hebu jisome tena!Eti kisa Mwenyezi Mungu aliwaadhibu watu kwenda kinyume naye basi unampa JPM value hiyo ya kulipa visasi kwa watu wasiomfurahisha!!!????Shame on u,huu ni mchango wa kipumbav zaidi kuwahi kuuona Jf!Kudhani ni haki yako na kuishia kudhani huku ukitoa hitimisho ni dalili ya watu ambao hawana uwezo mkubwa kifikra au wamechoka kifikra.
Wanasayansi huwa haishii kudhani bali huwa wanautafuta ukweli.
Kama ni ukatili na visasi basi hata Mwenyezi Mungu ana ukatili na visasi kwa sababu aliwahi kuua watu ambao hawakukubaliana na alichokisema na kukitaka!
Tumezoea siasa za kinafiki kiasi kwamba anachokisema mwanasiasa siyo kile anachoimanisha au kukitenda.
Rais Magufuli anakuambia na kukitenda kile anachokisema.
Hiyo dhana ya udikteta ni hisia tu kama zilivyo hisia zingine za kibinadamu.
Jielimishe zaidi kupitia The Presidential Affairs Act Cap. 9 (RE: 2002).
Hakuna sheria inayomtaka Rais wa Tanzania kwenda UN.
Ikumbukwe kuwa, Katiba ya Tanzania 1977 katika Ibara ya 34(4) inasema;
‘’Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, madaraka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano yatatekelezwa ama na Rais mwenyewe moja kwa moja au kwa kukasimu madaraka hayo kwa watu wengine wenye madaraka katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano’’.
Katiba inasema Rais anaweza kukasimu madaraka kwa kiongozi yoyote ili kumuwakilisha UN.
Huyu mtu anadhalilisha taasisi nzima ya urais,ajifunze kutoka kwa marais wa nchi zilizoendelea,huyu miezi tu matamko ya kijinga 20 kidogo,Obama anamalizia utawala wake hajawahi kuongea mambo ya kipuuz namna hiiKuna mtu humu kasema hata angemfumania na mke wake leo usiku, na kesho yake kuna faili la mgoni wake anatakiwa asaini tu, halafu mambo hayo binafsi watamalizana wenyewe hapo baadaye. Mambo yaliyopo kisheria unayaunganishaje na mambo ya "nyumbani"?