Rais Magufuli kama unataka kupata matokeo basi ujenzi wa Coco beach na Machinjio visimamiwe na waziri Jaffo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,944
141,919
Nimefuatilia kwa karibu maswali na majibu kati ya Rais Magufuli na watendaji wa mkoa wa Dsm wakati wa ziara ya Rais katika machinjio ya vingunguti.

Kiukweli ujenzi wa machinjio na fukwe ya Coco umejaa ubabaishaji mkubwa na wananchi wameshaanza kuhoji wingi wa fedha ukilinganisha na " ukawaida" wa miradi yenyewe.

Kiukweli ili tuipate thamani ya fedha kwa miradi hii miwili na kupunguza ' upigaji' ni heri usimamizi wa miradi huu akapewa mtu mwenye uwezo na ambaye kazi alizosimamia tumeshaziona.

Huyu si mwingine bali Waziri wa Tamisemi ambaye ndiye Boss wa mikoa yote mh Jaffo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hovyoooooooooooooooooooooooooooooooo, unadhani jafo akifa leo hapatajengwa au Jafo atadumu milele. Mshauri ajenge taasisi imara na si marafiki, kesho watakuwa majivu! taasisi imara hazitakuwa majivu
 
Hv huyu Jaffo si ndo alikuea/anakaa Kwenye ofisi za mabati Dodoma..huku kwa pembeni kuna jengo limejengwa chini ya viwango likidiwa ndo zitakuwa ofisi za Wizara yake???
 
Hovyoooooooooooooooooooooooooooooooo, unadhani jafo akifa leo hapatajengwa au Jafo atadumu milele. Mshauri ajenge taasisi imara na si marafiki, kesho watakuwa majivu! taasisi imara hazitakuwa majivu
Hahahaa...... Tunazungumzia wakati uliopo acha kuteseka na Mwita Waitara kamanda mstaafu!
 
Sawa, wazitumie vizuri tu. Na wajenge kitu chenye uhalisia wa thamani ya hiyo pesa. Vipi ushafanikiwa kuona ramani za maduka, swimming pool ma garden parks watakazojenga?
Mkuu kesho nitakuwa pale kwa Sitta.... nitajaribu kuziangalia na kukupa mrejesho!
 
Back
Top Bottom