Rais Magufuli hatofanya lolote ndani ya miaka 5

Mpaka sahivi hata asipofanya mengine walau tayari tumeshafurahia mengi mazuri. Wenye vinyongo na husda kama wewe ndo mtasubiri hiyo miaka 5 na hata angekaa miaka 30 bado hamtokuja kuona, wahanga wa vyeti feki mnasumbuka sana
 
Kumbukeni hata JK kaacha bomba la gesi lakini mjiulize ni nini leo ame-achieve ndio mrudi kwa Magu.
 
Inamaana miaka yote itakua ni uhakiki wa watumishi tu maana ndo habari ya mjini
 
Kabla hata ya kumshukuru ninaye Muamini, naomba Mods Msiupoteze uzi huu ili iwe kumbukumbu katika jukwaa hili.

Wana Jukwaa, niseme na nikiri tu kwamba katika makosa yote ambayo aliyo fanya Kikwete katika mihula yake kama kashfa za ufisadi, kukithiri kwa rushwa, kushuka kwa thamani ya Shilingi, na hata mengine uyajuayo ninaweza kumsamehe na kuyasahau makosa hayo kabisaa.

Kosa kubwa ambalo hata nishikiwe bunduki ambalo sitaweza kumsamehe JK ni la kutuletea Magufuli. Nasema hivi kwa sababu Kkwete anamjua Magufuli fika.

Natambua kwamba majeraha ambayo aliyaacha Kikwete alipaswa kutuletea mtu wa kuyatibu kwa utaalamu na busara ya hali ya juu. Lakini Ninacho shuhudia mimi Majeraha yale yameanza kuongezeka taratibu na kuwa makubwa zaidi ingawa kwa njia nyingine tofauti na JK.

Magufuli huyu ambaye tunamuona Shujaa wa kupambana na Ufisadi na kutaka maendeleo ya gafla hatofanikiwa chochote zaidi ya kulalamika kwenye majukwaa na kipiga mikwara.

Naamini asilimia kubwa ya wanajukwaaa hili wengi ni wasomi. Na kama ni ndivyo naamini mnatambua kwamba nchi huongozwa na Mipango thubuti (Strategies) yenye kutoa dira na njia ya kufikia yale tunayo yataka.

Tuliambiwa serikali hii ni ya viwanda, serikali ya kutoa ajira kupitia viwanda, watu wafanye kazi (hapakazi tu). Lakini mpaka sasa hatuoni mikakati ya viwanda hivyo vitakujaje eidha wavijenge serikali au wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi tumemshuhudia waziri wa viwanda akisimulia kapokea simu nyingi kutoka kwa wawekezaji wa nje na tena wengine wamemfata kwenye ofisi yake wakitaka ardhi kwa ajili ya kuwekeza.
Ukweli ni kwamba wawekezaji wengi wameingia uoga na wengine kutokomeaa kutokana na uchumi wa nchi hautabiriki na hasa pia serikali kupanga bei za bidhaa za soko, kubana matumizi na kutoa vitisho vingi kwa wawekezaji waliopo.

Bado hali haijakaa sawa, tunaambiwa Serikali kuamia dodoma ndani ya mwezi mmoja tena kwa amri pasipo mipango yenye kukamilisha hilo. Bado najiuliza ajenda za awamu hii ni zipi hasa, yaani tuna target kufika wapi hasa?

Rais amekuwa akitoa matamko kila siku mpaka wakati mwingine anapoongea unajikaza mwili mzima ukihofu ataongea nini, yaani unaogopa asitoe kauli zenye ukakasi ambazo mataifa mengine kutushangaaa. Yaani haipiti siku bila kusikia Magufuli kasema nini.

Hakuna mipango na mikakati thabiti ya kutufikisha kule tunapo pataka au anapopataka yeye, inaonekana kwamba dereva tuliye naye anayo nia ya kufika ila hajui njia ya kupita kufika tunapotaka, anabahatisha njia, lakini mbaya zaidi abiria tuliopo ndani ya gari ni wachache tunaona tunapotea ila tunahofu ya kumweleza dereva huyu njia sahihi kwa maana mbili, kwanza tunajua hawezi kutusikiliza zaidi ya kichapo, pili abiria wengine ambao ni wengi watatubwatukia kwa matusi mengi na kutukejeli kwamba nasi tunautaa udereva.

Nimalizie kwa kusema kwamba, nchi hujengwa kwa misingi na mipango thabiti. Marekani ya leo anaweza kuongoza hata Jay Z au Kanye West na Marekani isitetereke, kwa sababu moja tu, Nchi ina mising, Kila Rais ajaye pamoja na ajenda zake hukua ajenda kuu za nchi kwenye meza yake ambayo lazima aitekelezee. kuna mengiya kueleza lakini naomba niishiee hapa, ila wote ambao tutausoma uzi huu tusipoteze kumbukumbu, hakuna kitakacho badilika iwe ni maisha bora, uchumi, huduma za jamii, demokrasia, haki za binadamu na vitu vingine vinavyo maanisha maendeleo, zaidi ya kudidimia.

Tutakwenda kwa mikwara na kuanzisha ajenda ambazo zitakufa kibudu kwa muda mfupi, na kwakua CCM ina take advantages ya uoga na umbumbumbu wa watanzania waliowengi, 2020 watabadili maneno tu, kwamba ni HAPA NI KAZI ZAIDI.

Ibilisi

Mahakama ya mafisadi na wahujum uchumi hapa mana yake hakutakuwa na ucheleweshwaji wa hizi kesi. Amengeza mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa sna makadirio ya mwaka huu ni zaid ya trillion 20, Elimu bure, Magwangala sasa yatamilikiwa na wananchi wa hali ya chini na sio kusafirishwa kwenda Nje. Ndege za serikali septemba. Na Mangine meeeengi sna...

Mwenye husuda hata akikuona unapiga mbizi kwenye maji, atakwambia unatimua vumbi~JPM
 
Kubwa ambalo amelifanya na halija leta madhara ni kuhakikisha huduma za umeme kwa watumiani wadogo hasa majumbani zina shuka, hilo ndilo nililo liona mimi na halija leta madhara yeyote.

mkuu umeme upi umeshuka wa kibatali au wa mshumaa ? maana na ona umeme ukinunua unakatwa VAT 18%
REA 3%
EWURA 2%
Jumla ya makato 23%...sasa robo ya fedha yako inaenda kwenye kodi
ukitoa 10,000 basi 2500 zinaenda kwenye kodi..sasa mwenzetu unaongea unafuu gani upatayo?

wacha wewe mtu wa chini ..huyo tajiri naye hali ndio hio hio ..anakatwa kodi umeme wa kuzalisha bidhaa ambazo zikiuzwa zinatakiwa zilipwe kodi...
hakuna nafuu yoyote , sawa na sukari imesababishwa makusudi kupandishwa ili wenye viwanda wafaidi na sio wananchi, na hivi viwanda vya sukari inajulikana vilibinafsihwa kwa nani ..
 
So far keshafanya makubwa tu. Chini ya huyu tutatoka kwenye kuwa taifa la blah blah na kuendekeza siasa bali lenye nidhamu na structure ya maendeleo inayoeleweka. Huo ni urithi tosha kwa vizazi vijayo kuliko viwanda 100.
 
Rasmi nimeamua kurudi ccm.
Kama unahamia ili kua mwanachama tuu, basi jua Unapoteza muda wako bure.

unaweza ishi bila kua mwanachama wa chama chochote cha siasa.
Wanasiasa ni waongo na walaghai sikuzote wakitetea maslahi yao binafsi.
 
Kabla hata ya kumshukuru ninaye Muamini, naomba Mods Msiupoteze uzi huu ili iwe kumbukumbu katika jukwaa hili.

Wana Jukwaa, niseme na nikiri tu kwamba katika makosa yote ambayo aliyo fanya Kikwete katika mihula yake kama kashfa za ufisadi, kukithiri kwa rushwa, kushuka kwa thamani ya Shilingi, na hata mengine uyajuayo ninaweza kumsamehe na kuyasahau makosa hayo kabisaa.

Kosa kubwa ambalo hata nishikiwe bunduki ambalo sitaweza kumsamehe JK ni la kutuletea Magufuli. Nasema hivi kwa sababu Kkwete anamjua Magufuli fika.

Natambua kwamba majeraha ambayo aliyaacha Kikwete alipaswa kutuletea mtu wa kuyatibu kwa utaalamu na busara ya hali ya juu. Lakini Ninacho shuhudia mimi Majeraha yale yameanza kuongezeka taratibu na kuwa makubwa zaidi ingawa kwa njia nyingine tofauti na JK.

Magufuli huyu ambaye tunamuona Shujaa wa kupambana na Ufisadi na kutaka maendeleo ya gafla hatofanikiwa chochote zaidi ya kulalamika kwenye majukwaa na kipiga mikwara.

Naamini asilimia kubwa ya wanajukwaaa hili wengi ni wasomi. Na kama ni ndivyo naamini mnatambua kwamba nchi huongozwa na Mipango thubuti (Strategies) yenye kutoa dira na njia ya kufikia yale tunayo yataka.

Tuliambiwa serikali hii ni ya viwanda, serikali ya kutoa ajira kupitia viwanda, watu wafanye kazi (hapakazi tu). Lakini mpaka sasa hatuoni mikakati ya viwanda hivyo vitakujaje eidha wavijenge serikali au wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi tumemshuhudia waziri wa viwanda akisimulia kapokea simu nyingi kutoka kwa wawekezaji wa nje na tena wengine wamemfata kwenye ofisi yake wakitaka ardhi kwa ajili ya kuwekeza.
Ukweli ni kwamba wawekezaji wengi wameingia uoga na wengine kutokomeaa kutokana na uchumi wa nchi hautabiriki na hasa pia serikali kupanga bei za bidhaa za soko, kubana matumizi na kutoa vitisho vingi kwa wawekezaji waliopo.

Bado hali haijakaa sawa, tunaambiwa Serikali kuamia dodoma ndani ya mwezi mmoja tena kwa amri pasipo mipango yenye kukamilisha hilo. Bado najiuliza ajenda za awamu hii ni zipi hasa, yaani tuna target kufika wapi hasa?

Rais amekuwa akitoa matamko kila siku mpaka wakati mwingine anapoongea unajikaza mwili mzima ukihofu ataongea nini, yaani unaogopa asitoe kauli zenye ukakasi ambazo mataifa mengine kutushangaaa. Yaani haipiti siku bila kusikia Magufuli kasema nini.

Hakuna mipango na mikakati thabiti ya kutufikisha kule tunapo pataka au anapopataka yeye, inaonekana kwamba dereva tuliye naye anayo nia ya kufika ila hajui njia ya kupita kufika tunapotaka, anabahatisha njia, lakini mbaya zaidi abiria tuliopo ndani ya gari ni wachache tunaona tunapotea ila tunahofu ya kumweleza dereva huyu njia sahihi kwa maana mbili, kwanza tunajua hawezi kutusikiliza zaidi ya kichapo, pili abiria wengine ambao ni wengi watatubwatukia kwa matusi mengi na kutukejeli kwamba nasi tunautaa udereva.

Nimalizie kwa kusema kwamba, nchi hujengwa kwa misingi na mipango thabiti. Marekani ya leo anaweza kuongoza hata Jay Z au Kanye West na Marekani isitetereke, kwa sababu moja tu, Nchi ina mising, Kila Rais ajaye pamoja na ajenda zake hukua ajenda kuu za nchi kwenye meza yake ambayo lazima aitekelezee. kuna mengiya kueleza lakini naomba niishiee hapa, ila wote ambao tutausoma uzi huu tusipoteze kumbukumbu, hakuna kitakacho badilika iwe ni maisha bora, uchumi, huduma za jamii, demokrasia, haki za binadamu na vitu vingine vinavyo maanisha maendeleo, zaidi ya kudidimia.

Tutakwenda kwa mikwara na kuanzisha ajenda ambazo zitakufa kibudu kwa muda mfupi, na kwakua CCM ina take advantages ya uoga na umbumbumbu wa watanzania waliowengi, 2020 watabadili maneno tu, kwamba ni HAPA NI KAZI ZAIDI.

Ibilisi
Sina utaalamu sana wa rating za thread hapa JF ila hii inaweza kuwa thread kali ya mwaka huu! BEST THREAD OF THE YEAR 2016
 
...ukishaanza kukimbizana na wanasiasa wenye wapenzi wao katika wale unaowaongoza (maana hukupata asilimia 100% ya kura)huwezi kufanikisha mipango yako....naona miaka mitano ya JPM kwisha akiwa bado anakimbizana na wapinzani wake wa kisiasa badala ya maadui wa maendeleo ya nchi hii ambao ni umaskini,ujinga na maradhi...hata Nyerere hakufanya huu upuuzi wa kukamatana na wapinzani....na badala yake aliruhusu vyama vingi....napata picha kama JPM ndie alikuwa rais wakati ule labda hadi leo tusingekuwa na vyama vingi....inasikitisha sana....
 
mkuu umeme upi umeshuka wa kibatali au wa mshumaa ? maana na ona umeme ukinunua unakatwa VAT 18%
REA 3%
EWURA 2%
Jumla ya makato 23%...sasa robo ya fedha yako inaenda kwenye kodi
ukitoa 10,000 basi 2500 zinaenda kwenye kodi..sasa mwenzetu unaongea unafuu gani upatayo?

wacha wewe mtu wa chini ..huyo tajiri naye hali ndio hio hio ..anakatwa kodi umeme wa kuzalisha bidhaa ambazo zikiuzwa zinatakiwa zilipwe kodi...
hakuna nafuu yoyote , sawa na sukari imesababishwa makusudi kupandishwa ili wenye viwanda wafaidi na sio wananchi, na hivi viwanda vya sukari inajulikana vilibinafsihwa kwa nani ..
Service charge iliondolewa
 
Back
Top Bottom