Rais Magufuli hajavunja Katiba kumteua CAG mpya, tatizo ni Kiingereza kilichotumika kwenye Katiba

Screenshot_20191105-072638.jpg
 
Mimi naona hichi kiingereza wewe na rais ndo mmeelewa vizuri kuliko wengine

Na ungeweka na sheria nyingine ambaye inamfanya asiendelee na U CAG au asiongezewe awamu nyinginge- hiyo ipo ila umefumbia macho
 
GUSSIE,
Nikuulize swali jepesi tu, nini tofauti kati ya maneno haya ya kiingereza MAY na SHALL?

Ukinijibu hapo ndipo tutajua kama Rais amevunja Katiba au la.
I think May ni mwezi wa Tano na shall ni mwezi Mtukufu.

That's how our government wants us to be!! Fool enough to lift up Mt Kilimanjaro
 
GUSSIE

Subject to the other provisions of the Article! Ambapo ukitizama, utaratibu wa kumuondoa haukutumika, tuseme tu ukweli! Nyie mmebakia kwenye jargons! Kuna vipengele vingine vya kufuata siyo porojo.
 
GUSSIE,
Unatetea ujinga, yeye kashasema kama ana mamlaka ya kuteua basi pia lazima ana mamlaka ya kutengua.

Haya kayasema yeye mwenyewe na kamwambia Kichere kuwa anaweza kukaa kwa mwaka mmoja tu akatumbuliwa.
Mkuu unazungumzia Kiingerza cha Katiba. Hebu angalia na Kiswahili cha Katiba.
 
Pascal wewe ni muandishi na umeishi nje tunavyitamka sentensi au neno ni kulingana the na muktadha husika

Kwenye hili tuongee ukweli, Mamlaka ya Rais ni makubwa sana

Uchaguzi wa chama mwakani ndio watu hasa ccm watajua mamlaka ya Rais
Naunga mkono hoja
Tusimlaumu Rais Magufuli kwa lolote, yote anayoyafanya ni kwa mujibu wa katiba
He has all the powers to hire and fire as he pleases

P.
 
Mkataba umeisha nani anasaini mkataba wake
Subject to the other provisions of the Article! Ambapo ukitizama, utaratibu wa kumuondoa haukutumika, tuseme tu ukweli! Nyie mmebakia kwenye jargons! Kuna vipengele vingine vya kufuata siyo porojo.
 
Pr
Naunga mkono hoja
Tusimlaumu Rais Magufuli kwa lolote, yote anayoyafanya ni kwa mujibu wa katiba
He has all the powers to hire and fire as he pleases

P.
President has power to hire High Court Judges but don't have power to fire them.
 
Kwani ameondolewa au mkataba ume expire

Rais hapangiwi kwa mujibu wa katiba yetu

Wewe unatumia katiba ipi?
Katiba imeweka wazi. Kwanza CAG yuko kwa maslahi ya wananchi ndo maana katiba imeweka ugumu kumuondoa.
 
Tumpende au tusimpende Rais Magufuli kwenye hili hajakosea wala kuvunja katiba, Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi sana.

Maneno ya Kiingereza hutumika kulingana na muktadha au Mazingira husika, Kwa mtu aliyejifunza lugha ya Kiingereza au kuishi huko uingereza na kuongea lugha hii basi hawezi kupingana na tafsiri ya neno "Shall be eligible" kuwa siyo shall be re appointed

Neno "shall" kwenye katiba au sheria ya ukaguzi ni tegemezi, halijasimama lenyewe.

Madhara ya walimu wale wa UPE enzi hizo yaani walimu wa fasta fasta waliomaliza tu darasa la saba na kuamuliwa kufundisha shule za msingi ndio hao wameleta shida hii kwenye neno "shall"

Watu waliaminishwa shall maana yake ni lazima kufanyika, Hawa kuambiwa shall nyuma ya baadhi ya maneno ina tafsiri yake

Mfano. All graduate of Tanzanian local University shall be eligible for government employment, Hii haimaanishi kuwa lazima uajiriwe na serikali, Yawezekana umemaliza chuo Yes na unavigezo Yes lakini hazilazimishi serikali itoe ajira kwako

"Shall be eligible " haimaanishi kuwa ''shall be reappointed''

Hapa Tanzania kila raia zaidi ya miaka 18 shall be eligible to vote, haimaanishi kila mwenye miaka 18 Tanzania lazima apige kura bali anastahili kupiga kura.

CAG Assad alistahili na ana sifa za kuendelea kuwa CAG kwa kipindi cha miaka 5 au mpaka kufikisha umri wa kustaafu, hapa haimaanishi kuwa ni lazima awe CAG hata kama anastahili kipindi kingine cha miaka 5.

Mkataba wa CAG ni miaka mitano tu, siyo mkataba wa miaka kumi, CAG shall be eligible for another term haimaanishi shall be re appointed by president again,

Tutakosoa kwenye ukweli na kupinga kwa hoja, Kwa jambo hili Rais Magufuli hajavunja katiba.

Watu wanaendeshwa kwa hisia eti CAG mpya ni rafiki yake, Rais kwa Katiba yetu ana mamlaka makubwa awepo CAG au asiwepo akiamua kutokaguliwa anaweza kutokaguliwa.

Ripoti ya CAG kuanza kupeleka bungeni ni hisani ya Rais kikwete tu, Hapo awali iliwekwa na kupumzishwa ikulu hiyo Ripoti

Tusitafsiri sheria tofauti, Shall be elegible sio shall be reappointed.

CAG Assad anastahili kwa miaka mitano mingine lakini sio lazima awe yeye, mkataba wake ni miaka mitano na siyo kumi.

Sasa kama Rais ameona kuna mtu mwingine eligible kuna shida gani?

Wanabodi, neno "shall be eligible" lisiwachanganye ni simple English tu.

Assad ana sifa kweli na hajafikisha miaka 60 kweli na anastahili kipindi cha miaka mingine 5 kweli, lakini sio lazima ateuliwe tena.

Shall be eligible haimaanishi shall be reappointed.

Povu la chuki kwa Rais linaruhusiwa lakini kwa hili Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi.
Ovyo kabisa wewe, umeona walimu wa UPE ndio vilaza! kwa taarifa yako hao wote waliishastaafu kwa heshima ila nyie mnaodhani mnajua lugha ya malkia kwa kubana hizo pua zenu ndio mmeleta haya matatizo katika jamii yetu. Acheni kutoa visingizio kwa yale mliyoyaweka!!!
 
Waswahilo shida saaana,
hapa Prof. Assad, anapiga miluzi tu, akisubiria stahiki zake.
acha mchezo, mishahara yako yoote iliyobaki plus kiinua mgongo.
Akiweka hizo mzigoni, then anaomba kazi nje kwenye mashirika makubwa, na kwa CV yake lazima apate hizo kazi.
Yaani, ni full kupiga miluzi tu, akiwaacha majuha na ujuha wao.
 
Tumpende au tusimpende Rais Magufuli kwenye hili hajakosea wala kuvunja katiba, Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi sana.

Maneno ya Kiingereza hutumika kulingana na muktadha au Mazingira husika, Kwa mtu aliyejifunza lugha ya Kiingereza au kuishi huko uingereza na kuongea lugha hii basi hawezi kupingana na tafsiri ya neno "Shall be eligible" kuwa siyo shall be re appointed

Neno "shall" kwenye katiba au sheria ya ukaguzi ni tegemezi, halijasimama lenyewe.

Madhara ya walimu wale wa UPE enzi hizo yaani walimu wa fasta fasta waliomaliza tu darasa la saba na kuamuliwa kufundisha shule za msingi ndio hao wameleta shida hii kwenye neno "shall"

Watu waliaminishwa shall maana yake ni lazima kufanyika, Hawa kuambiwa shall nyuma ya baadhi ya maneno ina tafsiri yake

Mfano. All graduate of Tanzanian local University shall be eligible for government employment, Hii haimaanishi kuwa lazima uajiriwe na serikali, Yawezekana umemaliza chuo Yes na unavigezo Yes lakini hazilazimishi serikali itoe ajira kwako

"Shall be eligible " haimaanishi kuwa ''shall be reappointed''

Hapa Tanzania kila raia zaidi ya miaka 18 shall be eligible to vote, haimaanishi kila mwenye miaka 18 Tanzania lazima apige kura bali anastahili kupiga kura.

CAG Assad alistahili na ana sifa za kuendelea kuwa CAG kwa kipindi cha miaka 5 au mpaka kufikisha umri wa kustaafu, hapa haimaanishi kuwa ni lazima awe CAG hata kama anastahili kipindi kingine cha miaka 5.

Mkataba wa CAG ni miaka mitano tu, siyo mkataba wa miaka kumi, CAG shall be eligible for another term haimaanishi shall be re appointed by president again,

Tutakosoa kwenye ukweli na kupinga kwa hoja, Kwa jambo hili Rais Magufuli hajavunja katiba.

Watu wanaendeshwa kwa hisia eti CAG mpya ni rafiki yake, Rais kwa Katiba yetu ana mamlaka makubwa awepo CAG au asiwepo akiamua kutokaguliwa anaweza kutokaguliwa.

Ripoti ya CAG kuanza kupeleka bungeni ni hisani ya Rais kikwete tu, Hapo awali iliwekwa na kupumzishwa ikulu hiyo Ripoti

Tusitafsiri sheria tofauti, Shall be elegible sio shall be reappointed.

CAG Assad anastahili kwa miaka mitano mingine lakini sio lazima awe yeye, mkataba wake ni miaka mitano na siyo kumi.

Sasa kama Rais ameona kuna mtu mwingine eligible kuna shida gani?

Wanabodi, neno "shall be eligible" lisiwachanganye ni simple English tu.

Assad ana sifa kweli na hajafikisha miaka 60 kweli na anastahili kipindi cha miaka mingine 5 kweli, lakini sio lazima ateuliwe tena.

Shall be eligible haimaanishi shall be reappointed.

Povu la chuki kwa Rais linaruhusiwa lakini kwa hili Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi.
Unajiona mjuaji!
 
Hoja siyo hayo maneno ya SHALL BE ELIGIBLE hoja ni ss.3 ambayo haikufuatwa ya kumuondoa CAG kabla ya kufikisha umri wa miaka 65 bila kufuata mchakato wa kisheria wakumuomdoa kama ulivoainishwa katika kifungu 144(3) cha katiba, rejea comment ya Prof. Shivji, vinginevyo labda wewe unajuwa zaidi kiingereza cha sheria kuliko nguli kama Prof Shivji.
 
Utawapumbaza wengi tu kwa hili bandiko lako kuwa na wenyewe hawajui hicho kingereza
Tumpende au tusimpende Rais Magufuli kwenye hili hajakosea wala kuvunja katiba, Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi sana.

Maneno ya Kiingereza hutumika kulingana na muktadha au Mazingira husika, Kwa mtu aliyejifunza lugha ya Kiingereza au kuishi huko uingereza na kuongea lugha hii basi hawezi kupingana na tafsiri ya neno "Shall be eligible" kuwa siyo shall be re appointed

Neno "shall" kwenye katiba au sheria ya ukaguzi ni tegemezi, halijasimama lenyewe.

Madhara ya walimu wale wa UPE enzi hizo yaani walimu wa fasta fasta waliomaliza tu darasa la saba na kuamuliwa kufundisha shule za msingi ndio hao wameleta shida hii kwenye neno "shall"

Watu waliaminishwa shall maana yake ni lazima kufanyika, Hawa kuambiwa shall nyuma ya baadhi ya maneno ina tafsiri yake

Mfano. All graduate of Tanzanian local University shall be eligible for government employment, Hii haimaanishi kuwa lazima uajiriwe na serikali, Yawezekana umemaliza chuo Yes na unavigezo Yes lakini hazilazimishi serikali itoe ajira kwako

"Shall be eligible " haimaanishi kuwa ''shall be reappointed''

Hapa Tanzania kila raia zaidi ya miaka 18 shall be eligible to vote, haimaanishi kila mwenye miaka 18 Tanzania lazima apige kura bali anastahili kupiga kura.

CAG Assad alistahili na ana sifa za kuendelea kuwa CAG kwa kipindi cha miaka 5 au mpaka kufikisha umri wa kustaafu, hapa haimaanishi kuwa ni lazima awe CAG hata kama anastahili kipindi kingine cha miaka 5.

Mkataba wa CAG ni miaka mitano tu, siyo mkataba wa miaka kumi, CAG shall be eligible for another term haimaanishi shall be re appointed by president again,

Tutakosoa kwenye ukweli na kupinga kwa hoja, Kwa jambo hili Rais Magufuli hajavunja katiba.

Watu wanaendeshwa kwa hisia eti CAG mpya ni rafiki yake, Rais kwa Katiba yetu ana mamlaka makubwa awepo CAG au asiwepo akiamua kutokaguliwa anaweza kutokaguliwa.

Ripoti ya CAG kuanza kupeleka bungeni ni hisani ya Rais kikwete tu, Hapo awali iliwekwa na kupumzishwa ikulu hiyo Ripoti

Tusitafsiri sheria tofauti, Shall be elegible sio shall be reappointed.

CAG Assad anastahili kwa miaka mitano mingine lakini sio lazima awe yeye, mkataba wake ni miaka mitano na siyo kumi.

Sasa kama Rais ameona kuna mtu mwingine eligible kuna shida gani?

Wanabodi, neno "shall be eligible" lisiwachanganye ni simple English tu.

Assad ana sifa kweli na hajafikisha miaka 60 kweli na anastahili kipindi cha miaka mingine 5 kweli, lakini sio lazima ateuliwe tena.

Shall be eligible haimaanishi shall be reappointed.

Povu la chuki kwa Rais linaruhusiwa lakini kwa hili Kiingereza ni tatizo kwa Watanzania wengi.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni sifuri kama sio hasi kabisa.

Unaanzaje kuwabeza walimu wa UPE waliotatua changamoto ya uhaba wa wataalamu kipindi hicho?

Unaanzaje kuwabeza walimu wa UPE waliotekeleza Azimio la Musomakwa malipo kidogo?

Unaanzaje kuwabeza walimu wa UPE ambao ndio waliokufundisha au kuwafundisha ndugu zako?

Unaanzaje kuwabeza walimu wa UPE ikiwa ndio waliotekeleza kwa vitendo Azimio la Arusha na Musoma?

Siasa zisichanganywe na utaalamu kama unajadili siasa jikite tu kwenye tutakuelewa na kama unajadili utaalamu jadili utaalamu tutakuelewa.
 
Report kupelekwa bungeni ni kwa mujibu wa Sheria na sio hisani

Tujitahidi kuandika taarifa sahihi
 
Back
Top Bottom