Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,753
- 22,376
Mbona kiswahili nacho ni tatizo, mfano andazi ni nini? Kitafunio au Kitafunwa? Wengi humu watakuambia ni kitafunio! Hata hiyo humu wataandika UMU na hata wataandika ATA, acha visingizio mnakaa kusifia nchi nyingine kujifunza kiswahi nyie kiingereza kimewashinda, Wachina wanajifunza kiingereza ili wafanye biashara.sheria katika taifa la waaswahili iandikwe kwa kiingereza kwanini? Kama siyo utumwa