Rais Magufuli endelea kupiga kazi

Rais Magufuli endelea kupiga kazi

moma2k

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
1,109
Reaction score
1,423
Achana na kelele za milango ambazo baadhi ya watu wanapiga, hazina miguu.Kelele ni za kawaida dhidi ya kila kiongozi. Hata Papa/Baba mtakatifu wapo watu wanaompigia kelele. Mhesh.Raisi endelea kupiga kazi. You are the only president of the United Republic of TZ. We trust you! Watakuelewa baadaye. Hata Yesu alitukanwa sana,lakini walikuja kumuelewa baadaye. Anavuma mpaka leo.
 
Magufuli hooooyeeee. Kazi kazi! Longo longo NO!
 
Kabisaaaa

Magufuli oyeeeeee
tapatalk_1497437380818.jpeg
 
Magufuli kiboko ya mafisadi.....

CCM oyeee.....

Mhe. John Pombe Magufuli (JPM) oyeee....
 
Mtoa Post pumba zko ht sokon hazina bei jilie pekyko tuondolee ushuz mbichi hp
 
Workdone=Force× Distance, kwenye Force hapana shaka iko kubwa sana, lkn kwenye distance bado tuko kwenye Zero. Bila shaka Workdone jibu linajulikana wazi.
 
Achana na kelele za milango ambazo baadhi ya watu wanapiga, hazina miguu.Kelele ni za kawaida dhidi ya kila kiongozi. Hata Papa/Baba mtakatifu wapo watu wanaompigia kelele. Mhesh.Raisi endelea kupiga kazi. You are the only president of the United Republic of TZ. We trust you! Watakuelewa baadaye. Hata Yesu alitukanwa sana,lakini walikuja kumuelewa baadaye. Anavuma mpaka leo.
Kwahiyo Magufuli ni kama Yesu!?

Mungu akurehemu.
 
Achana na kelele za milango ambazo baadhi ya watu wanapiga, hazina miguu.Kelele ni za kawaida dhidi ya kila kiongozi. Hata Papa/Baba mtakatifu wapo watu wanaompigia kelele. Mhesh.Raisi endelea kupiga kazi. You are the only president of the United Republic of TZ. We trust you! Watakuelewa baadaye. Hata Yesu alitukanwa sana,lakini walikuja kumuelewa baadaye. Anavuma mpaka leo.
Chadema wanajua Plan yao. Angalia usimpe kazi bure wewee, mwisho ghafala anajikuta hakuna kazi ya kufanya.
 
Magufuli kiboko ya mafisadi.....

CCM oyeee.....

Mhe. John Pombe Magufuli (JPM) oyeee....

kashindwa kumpeleka lowasa mahakamani kweli kiboko mahakama, bunge na jeshi yote mkononi mwake ila kashindwa

hoyeeee magu

burudozaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom