Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,643
- 6,844
Mungu tu ndio hakosolewi kwakuwa hakosei na hajawahi kukosea na hatokosea lakini kwa binadamu yoyote anakosea na atakosolewa maana yeye sio Mungu na hatokaa awe hata malaika labda shetani.Kuwa na adabu rais hakosolewi