Kwa Nini CCM Hujitambulisha Zaidi Kwa Uovu Kuliko Wema?

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
17,391
43,444
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:

1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa kupora na kuuza rasilimali za Taifa kama bandari, mbuga za wanyama na hifadhi za misitu ni viongozi wa CCM.

2. RUSHWA
Siku zote watuhumiwa wakuu wa rushwa, ukichunguza, utakuta ama ni viongozi, makada au wafadhili wakuu wa CCM.

3. UPORAJI
Watuhumiwa wote wa uporaji wa mali za watu kwa kutumia madaraka, siku zote ni viongozi wa CCM.

4. WADHULUMAJI WA HAKI
Watuhumiwa wa udhulumaji wa haki za wananchi, kuanzia udhulumaji wa haki za watu za kuishi (wauaji) mpaka mali za watu kama vile pesa na ardhi, ni viongozi, makada, wapambe na wafadhili wa CCM.

5. UDIKTETA
Madikteta na wapenzi wa udikteta, wasiotaka uchaguzi ulio wa haki na huru, wasiotaka katiba nzuri yenye kulinda haki ya kila mwananchi, wanaotaka mahakama na Bunge viwe idara za kupokea maelekezo toka CCM, badala ya kusimamia haki, wote ama ni viongozi, makada au wanachama wa CCM.

6. SIASA ZA UWONGO, UNAFIKI NA ULAGHAI.
Wanasiasa na viongozi waongo na laghai, wamejaa CCM. Tena kwao ukisikia wanasema kuwa fulani ni mwanasiasa hasa, wanamaanisha ni mwongo na laghai sana.

7. UFISADI
Zile reports za CAG, zinazoonesha ufisadi mkubwa ndani ya serikali na taasisi zake, wahusika wote ni viongozi, makada na wanachama wa CCM. CCM inaliamgamiza Taifa, na kwa vile wote ni mazao ya uovu, hakuna wa kupambana na uovu.

CCM inajipambanua kwa uovu badala ya wema mbele za wananchi. Kwa nini imekuwa hivyo? Ni shetani gani ameingia CCM kiasi cha kuifanya CCM ionee fahari uovu badala ya wema? CCM sasa imeanza kulifuta taifa taratibu. Taifa ambalo rasilimali zake zote zinapowa na wageni, ni Taifa marehemu, maana wananchi wake watakuwa katika ardhi yao lakini wakiishi kama wageni. Huku ndiyo kufa kwa Taifa.

Viongozi wetu mliotangulia mbele za haki, Julius, Benjamin na John, pamoja na mapungufu yenu, lakini tuna uhakika mlilipenda Taifa hili, msingependa Taifa hili, siku moja rasilimali zake ziporwe kiasi cha kutishia uhai wake huko mbeleni, kama inavyofanyika. kwa maombi yenu na ya wote wenye dhamira njema, waliotangulia na walio hai, yamfikie aliyetupa huu urithi, naye atujalie ujasiri wa kuukataa uovu huu unaolipeleka Taifa kwenye maangamizi.
 
Acha unafiki wako na kuimba ngonjera za kizushi na ubabaishaji. CCM Ni Chama kinachozingatia kanuni ,taratibu ,sheria na katiba katika kuendesha mambo yake. Hakuna anayeweza kufanya uhalifu au kukiuka katiba halafu asichukuliwe hatua.

Wewe kinachokusumbua siku zote ni upeo wako mdogo wa kuchambua mambo na kutanguliza mihemuko na hisia katika kuandika vitu badala ya kutumia akili na mantiki.
 
Itabidi nikuzuie usichangie mada niziletazo. Nazileta kwaajili ya wenye akili timamu, halafu chawa punguani unakuja kuzichafua.
 
Sifa hizo zote zipo Chadema pia

Toa mfano hata mmoja mmoja kila eneo, kwa mfano:

1) report ya CAG iliyomtaja kiongozi wa CHADEMA kwa ufisadi.

2) kiongozi wa CHADEMA kuwaua watu (kuwanyima haki ya kuishi). CCM, ametajwa Makonda.

3) kiongozi wa CHADEMA aliyewahi kwapora watu pesa zao. CCM, kuna Sabaya, tena kwa uthibitisho wa mahakama.

4) kiongozi wa CHADEMA aliyewahi kuwapora watanganyika rasilimali zao halafu akawagawia wageni. CCM ina Mbarawa na mkuu wa chama, na wabunge wote wa CCM kuikubali IGA ya kishenzi baada ya wao kuhongwa pesa, magari na nyumba huko Dubai.
 
Itabidi nikuzuie usichangie mada niziletazo. Nazileta kwaajili ya wenye akili timamu, halafu chawa punguani unakuja kuzichafua.
😃😃😃Nilishasema wewe upeo wako ni mdogo sana na unataka uungwe mkono kwa hoja zako dhaifu dhaifu tu. .sasa usipokosolewa si utaendelea kuwa na akili hizo hizo zisizoweza kuchambua vitu. CHADEMA akili zenu mnazijuwa wenyewe tu
 
Toa mfano hata mmoja mmoja kila eneo, kwa mfano:

1) report ya CAG iliyomtaja kiongozi wa CHADEMA kwa ufisadi.

2) kiongozi wa CHADEMA kuwaua watu (kuwanyima haki ya kuishi). CCM, ametajwa Makonda.

3) kiongozi wa CHADEMA aliyewahi kwapora watu pesa zao. CCM, kuna Sabaya, tena kwa uthibitisho wa mahakama.

4) kiongozi wa CHADEMA aliyewahi kuwapora watanganyika rasilimali zao halafu akawagawia wageni. CCM ina Mbarawa na mkuu wa chama, na wabunge wote wa CCM kuikubali IGA ya kishenzi baada ya wao kuhongwa pesa, magari na nyumva huko Dubai.
Haya

Namba 1 Ripoti ya CAG ilimuhusisha Mgombea wa uRais wa Chadema na Richmond

Namba2 Mjumbe wa CC ya Chadema by then Kubenea alisema Ben yupo mahali fulani huwa anamkuta anasoma Magazeti ukiachilia mbali mambo ya Chacha

Tatu, Watu wameporwa fedha kupitia Join the Chain

Nne, rasilimali Ruzuku ilitumika kumlipa wakili Mzungu Robert huku Chadema ikiwa na Mawakili kibao akina PK

Wizi na Ufisadi wa Vyama Vyote vya siasa unafanana
 
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:

1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa kupora na kuuza rasilimali za Taifa kama bandari, mbuga za wanyama na hifadhi za misitu ni viongozi wa CCM.

2. RUSHWA
Siku zote watuhumiwa wakuu wa rushwa, ukichunguza, utakuta ama ni viongozi, makada au wafadhili wakuu wa CCM.

3. UPORAJI
Watuhumiwa wote wa uporaji wa mali za watu kwa kutumia madaraka, siku zote ni viongozi wa CCM.

4. WADHULUMAJI WA HAKI
Watuhumiwa wa udhulumaji wa haki za wananchi, kuanzia udhulumaji wa haki za watu za kuishi (wauaji) mpaka mali za watu kama vile pesa na ardhi, ni viongozi, makada, wapambe na wafadhili wa CCM.

5. UDIKTETA
Madikteta na wapenzi wa udikteta, wasiotaka uchaguzi ulio wa haki na huru, wasiotaka katiba nzuri yenye kulinda haki ya kila mwananchi, wanaotaka mahakama na Bunge viwe idara za kupokea maelekezo toka CCM, badala ya kusimamia haki, wote ama ni viongozi, makada au wanachama wa CCM.

6. SIASA ZA UWONGO, UNAFIKI NA ULAGHAI.
Wanasiasa na viongozi waongo na laghai, wamejaa CCM. Tena kwao ukisikia wanasema kuwa fulani ni mwanasiasa hasa, wanamaanisha ni mwongo na laghai sana.

7. UFISADI
Zile reports za CAG, zinazoonesha ufisadi mkubwa ndani ya serikali na taasisi zake, wahusika wote ni viongozi, makada na wanachama wa CCM. CCM inaliamgamiza Taifa, na kwa vile wote ni mazao ya uovu, hakuna wa kupambana na uovu.

CCM inajipambanua kwa uovu badala ya wema mbele za wananchi. Kwa nini imekuwa hivyo? Ni shetani gani ameingia CCM kiasi cha kuifanya CCM ionee fahari uovu badala ya wema? CCM sasa imeanza kulifuta taifa taratibu. Taifa ambalo rasilimali zake zote zinapowa na wageni, ni Taifa marehemu, maana wananchi wake watakuwa katika ardhi yao lakini wakiishi kama wageni. Huku ndiyo kufa kwa Taifa.

Viongozi wetu mliotangulia mbele za haki, Julius, Benjamin na John, pamoja na mapungufu yenu, lakini tuna uhakika mlilipenda Taifa hili, msingependa Taifa hili, siku moja rasilimali zake ziporwe kiasi cha kutishia uhai wake huko mbeleni, kama inavyofanyika. kwa maombi yenu na ya wote wenye dhamira njema, waliotangulia na walio hai, yamfikie aliyetupa huu urithi, naye atujalie ujasiri wa kuukataa uovu huu unaolipeleka Taifa kwenye maangamizi.
Dharau na Uroho vimewatawala sana ccm.
 
Rais wako mwenyewe anavunja Katiba wazi wazi kwa kusema katiba ni vimakaratasi tu.
Acha unafiki wako na kuimba ngonjera za kizushi na ubabaishaji. CCM Ni Chama kinachozingatia kanuni ,taratibu ,sheria na katiba katika kuendesha mambo yake. Hakuna anayeweza kufanya uhalifu au kukiuka katiba halafu asichukuliwe hatua.

Wewe kinachokusumbua siku zote ni upeo wako mdogo wa kuchambua mambo na kutanguliza mihemuko na hisia katika kuandika vitu badala ya kutumia akili na mantiki.
 
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:

1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa kupora na kuuza rasilimali za Taifa kama bandari, mbuga za wanyama na hifadhi za misitu ni viongozi wa CCM.

2. RUSHWA
Siku zote watuhumiwa wakuu wa rushwa, ukichunguza, utakuta ama ni viongozi, makada au wafadhili wakuu wa CCM.

3. UPORAJI
Watuhumiwa wote wa uporaji wa mali za watu kwa kutumia madaraka, siku zote ni viongozi wa CCM.

4. WADHULUMAJI WA HAKI
Watuhumiwa wa udhulumaji wa haki za wananchi, kuanzia udhulumaji wa haki za watu za kuishi (wauaji) mpaka mali za watu kama vile pesa na ardhi, ni viongozi, makada, wapambe na wafadhili wa CCM.

5. UDIKTETA
Madikteta na wapenzi wa udikteta, wasiotaka uchaguzi ulio wa haki na huru, wasiotaka katiba nzuri yenye kulinda haki ya kila mwananchi, wanaotaka mahakama na Bunge viwe idara za kupokea maelekezo toka CCM, badala ya kusimamia haki, wote ama ni viongozi, makada au wanachama wa CCM.

6. SIASA ZA UWONGO, UNAFIKI NA ULAGHAI.
Wanasiasa na viongozi waongo na laghai, wamejaa CCM. Tena kwao ukisikia wanasema kuwa fulani ni mwanasiasa hasa, wanamaanisha ni mwongo na laghai sana.

7. UFISADI
Zile reports za CAG, zinazoonesha ufisadi mkubwa ndani ya serikali na taasisi zake, wahusika wote ni viongozi, makada na wanachama wa CCM. CCM inaliamgamiza Taifa, na kwa vile wote ni mazao ya uovu, hakuna wa kupambana na uovu.

CCM inajipambanua kwa uovu badala ya wema mbele za wananchi. Kwa nini imekuwa hivyo? Ni shetani gani ameingia CCM kiasi cha kuifanya CCM ionee fahari uovu badala ya wema? CCM sasa imeanza kulifuta taifa taratibu. Taifa ambalo rasilimali zake zote zinapowa na wageni, ni Taifa marehemu, maana wananchi wake watakuwa katika ardhi yao lakini wakiishi kama wageni. Huku ndiyo kufa kwa Taifa.

Viongozi wetu mliotangulia mbele za haki, Julius, Benjamin na John, pamoja na mapungufu yenu, lakini tuna uhakika mlilipenda Taifa hili, msingependa Taifa hili, siku moja rasilimali zake ziporwe kiasi cha kutishia uhai wake huko mbeleni, kama inavyofanyika. kwa maombi yenu na ya wote wenye dhamira njema, waliotangulia na walio hai, yamfikie aliyetupa huu urithi, naye atujalie ujasiri wa kuukataa uovu huu unaolipeleka Taifa kwenye maangamizi.
Uovu upi?
 
Ukiwa ccm una haki ya kufanya jinai na usichukuliwe hatua! Job ndugai, na pauline gekul. Yaani ccm ni kichaka cha kufanya utakavyo
 
Toa mfano hata mmoja mmoja kila eneo, kwa mfano:

1) report ya CAG iliyomtaja kiongozi wa CHADEMA kwa ufisadi.

2) kiongozi wa CHADEMA kuwaua watu (kuwanyima haki ya kuishi). CCM, ametajwa Makonda.

3) kiongozi wa CHADEMA aliyewahi kwapora watu pesa zao. CCM, kuna Sabaya, tena kwa uthibitisho wa mahakama.

4) kiongozi wa CHADEMA aliyewahi kuwapora watanganyika rasilimali zao halafu akawagawia wageni. CCM ina Mbarawa na mkuu wa chama, na wabunge wote wa CCM kuikubali IGA ya kishenzi baada ya wao kuhongwa pesa, magari na nyumva huko Dubai.
Shida yako wewe huna tofauti na lucas wote nyinyi wakereketwa wa vyama hamjiongozi na akili zenu
 
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:

1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa kupora na kuuza rasilimali za Taifa kama bandari, mbuga za wanyama na hifadhi za misitu ni viongozi wa CCM.

2. RUSHWA
Siku zote watuhumiwa wakuu wa rushwa, ukichunguza, utakuta ama ni viongozi, makada au wafadhili wakuu wa CCM.

3. UPORAJI
Watuhumiwa wote wa uporaji wa mali za watu kwa kutumia madaraka, siku zote ni viongozi wa CCM.

4. WADHULUMAJI WA HAKI
Watuhumiwa wa udhulumaji wa haki za wananchi, kuanzia udhulumaji wa haki za watu za kuishi (wauaji) mpaka mali za watu kama vile pesa na ardhi, ni viongozi, makada, wapambe na wafadhili wa CCM.

5. UDIKTETA
Madikteta na wapenzi wa udikteta, wasiotaka uchaguzi ulio wa haki na huru, wasiotaka katiba nzuri yenye kulinda haki ya kila mwananchi, wanaotaka mahakama na Bunge viwe idara za kupokea maelekezo toka CCM, badala ya kusimamia haki, wote ama ni viongozi, makada au wanachama wa CCM.

6. SIASA ZA UWONGO, UNAFIKI NA ULAGHAI.
Wanasiasa na viongozi waongo na laghai, wamejaa CCM. Tena kwao ukisikia wanasema kuwa fulani ni mwanasiasa hasa, wanamaanisha ni mwongo na laghai sana.

7. UFISADI
Zile reports za CAG, zinazoonesha ufisadi mkubwa ndani ya serikali na taasisi zake, wahusika wote ni viongozi, makada na wanachama wa CCM. CCM inaliamgamiza Taifa, na kwa vile wote ni mazao ya uovu, hakuna wa kupambana na uovu.

CCM inajipambanua kwa uovu badala ya wema mbele za wananchi. Kwa nini imekuwa hivyo? Ni shetani gani ameingia CCM kiasi cha kuifanya CCM ionee fahari uovu badala ya wema? CCM sasa imeanza kulifuta taifa taratibu. Taifa ambalo rasilimali zake zote zinapowa na wageni, ni Taifa marehemu, maana wananchi wake watakuwa katika ardhi yao lakini wakiishi kama wageni. Huku ndiyo kufa kwa Taifa.

Viongozi wetu mliotangulia mbele za haki, Julius, Benjamin na John, pamoja na mapungufu yenu, lakini tuna uhakika mlilipenda Taifa hili, msingependa Taifa hili, siku moja rasilimali zake ziporwe kiasi cha kutishia uhai wake huko mbeleni, kama inavyofanyika. kwa maombi yenu na ya wote wenye dhamira njema, waliotangulia na walio hai, yamfikie aliyetupa huu urithi, naye atujalie ujasiri wa kuukataa uovu huu unaolipeleka Taifa kwenye maangamizi.
Kwa kuwa ndiyo asili yao ni kama asili ya uzao wa panya 🤪
 
Viongozi wetu mliotangulia, pamoja na mapungufu yenu, lakini tuna uhmbele za haki, Julius, Benjamin na John hakika mlilipenda Taifa hili, msingependa Taifa hili, siku moja rasilimali zake ziporwe kiasi cha kutishia uhai wake huko mbeleni
Umeharibu ulipowataja Hawa mafisadi, madikteta, masadist.
 
Back
Top Bottom