Mimi huwa najihadhari mapema, kwenye taarifa ya habari lazima waanze na 'Rais zzz leo amezindua...' hapo najua tayari jamaa wanataka kuniharibia siku, kama mtoto yupo karibu na remote namwambia aondoe hiyo channel haraka sana.Tatizo lako kama langu
Na kwa sasa watoto wanalijua hilo, wakisikia tu 'Rais zzz' wanatoa wenyewe bila mimi kuwaambia, amani ya moyo wangu ni ya muhimu sana kwa afya na kujihakikishia maisha marefu.