Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Rais Magufuli azidi kuiandama mitandao ya kijamii

Ukipata PHD ukaishi maisha ya ki-PHD kwa kuifanyia kazi kikamilifu hata yule anaetoa maneno ya ovyoovyo utagundua kwamba kuna kitu anacho cha kujifunza haijalishi ana kiwango gani cha elimu, tatizo hapa mtu anasahau unapokuwa mmoja alafu unaongoza kundi la watu 30 maana yake kuna watu 31 (ukijiongeza na wewe) wenye mawazo tofauti tofauti hivyo basi usitegemee kila mmoja kuwaza sawa na mwingine lakini pia kile unachokifikiria wewe usikilazimishe kiwe sahihi kisa wewe umepewa mamlaka.

Jamaa amejisahau kama yeye ni mmoja kati ya watu milioni 40
 
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"

Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"
Mimi nilidhani hasomagi eti.!
 
PASCAL MAYALLA ACHA UZUSHI, WE KILA SIKU NI KUMSEMA RAIS TU, JIKITE KATIKA ISSUES BANA, UFISADI NI MWINGI SANA, MFANO YULE NDUGU YENU WA DAWASCO. YULE LUHEMEJA. MBONA HAMUENDI HUKO MUANDIKE YAKE? AU KWA SABB ANAWAPOOZA
 
"The power of social media" haikwepeki kwa dunia ya leo..
 
Akiongea leo wakati anaapisha wateule wapya Ikulu. Amesema mitandao yetu ni ya ovyoovyo na inaandika mambo ya ajabu ajabu.

"Jana nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa eti Mwakyembe hawezi kuja kuapishwa, na mimi nilikuwa nasubiri asifike nione. ''Sasa si huyu hapa amefika"

Ameongeza kuwa..... "Jana kuna mwingine kapost Kinana kuongea na waandishi wa habari kesho, wakati ukweli Kinana nimemtuma India Kwa siku kumi na mbili"
Kwa hiyo na yeye ni mshiriki wa mitandao ya hovyo kila mara yuko anasoma na si ajabu anapost
 
Afadhali hajatambua uwepo wa Bashite lakini inaonekana Rais anatumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii hasa JF
Tena anawapa ndogo waandishi wanaotumiwa eti nchi isiwe na machafuko ka Rwanda kwanini sasa naye hafati sheria za nchi.
 
Nchi iko kwenye good direction
Waandishi waombwa kuitanguliza Tanzania Kwanza.
Ametolea mfano Genocide ya Rwanda.
Tutumie kalamu zetu vizuri.
Paskali
 
his is very big impact. Hivyo tuendelee kwa nguvu sana kupeleka ujumbe nyumba kuu kupitia JF, ujumbe utafika.
Paskali wewe ni Msukuma, sawa na Makonda, tena dhehebu lileeee, mna kinga ya turufu, je, sisi wavaa vilemba tukikufuata wewe unataka tukanyie ndooni?
 
Anakandia mitandao ya kijamii ila kwa maneno haya ina mana mitandao inamnyima usingizi......
 
Back
Top Bottom