Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

Mie naanza kuchoka hata kama haya yanatendeka maana majina ya mawaziri yanayo liki ni homa na nilitegemea sura mpya nyingi.

Hao nao walizidi, natumaini huko patanyooka kikazi na wapya watakaowekwa.
 
Ila ccm hii mbinu tunayoitumia nimeikubali,kweli tunajua kucheza na akili za watanzania..na Mzee nyerere aliwahi kusema mabadiliko ya kweli nchi hii yataletwa na ccm,co wale wahuni wa upande wa pili.
 
Kuwasimamisha haitoshi wachukuliwe hatua za kisheria na wakipatikana na hatia wafungwe
 
Naweza hama nchi kama haya yakiendelea kwa mwaka mzima...cwezi kaa nchi ambayo kiongozi wake ckumpigia kura kwa mkumbo bila kujua mazuri ambayo angeyafanya leo hii roho yangu inaniuma kwa ubaya niliomtendea cku ile ya 25 october...hakika nipo mbioni kuhama nchi endepo matarajio ya wananchi atayatimiza
 
Ila ccm hii mbinu tunayoitumia nimeikubali,kweli tunajua kucheza na akili za watanzania..na Mzee nyerere aliwahi kusema mabadiliko ya kweli nchi hii yataletwa na ccm,co wale wahuni wa upande wa pili.
Pole sana mama. Mwache Magufuli asafishe serikali
 
Amevunja na kumfukuza Kazi katibu mkuu wizara ya uchukuzi na kumteua mwingine.
 
Naweza hama nchi kama haya yakiendelea kwa mwaka mzima...cwezi kaa nchi ambayo kiongozi wake ckumpigia kura kwa mkumbo bila kujua mazuri ambayo angeyafanya leo hii roho yangu inaniuma kwa ubaya niliomtendea cku ile ya 25 october...hakika nipo mbioni kuhama nchi endepo matarajio ya wananchi atayatimiza
Sasa unataka yaendelee mwaka mzima kwa sababu gani? Mtu makini hawezi kufanya mambo kimakosa. Akishasafisha kote hakutakuwa na sababu ya kuendelea kusafisha sehemu iliyo safi. Tunachotaka ni Kazi tu
 
Heshima itakuwepo tu twendeni nao kwa pamoja sana.
 
Nakumbuka wakati wa kampeni mgombea wa UKAWA Edward Lowassa alisema "Uongozi ni kufanya maamuzi, ni bora ukafanya mwamuzi ukakosea kuliko kutofanya".

Rais Magufuri anafanya kile ambacho kinatakiwa, "MAAMUZI". Maamuzi afanyayo kiongozi humfanya ajipambanue yeye ni mtu wa aina gani.
 
ukichelea mwana kulia .............
Sakata la Nyumba za umma zilipaswa/zinapaswa kumfuta kazi Pombe kwa muktadha huu huu anaoutumia kwa wenzake (kushindwa kuisimamia wizara)
 
Safisha baba safisha. Hatutaki kuyaona majizi yakibaki kwenye utumishi wa umma

Kabisa...hatutaweza kuijenga nchi ambayo watoto zetu hawataona haya kuwa sehemu ya uwepo wake kama wizi huu utalindwa na kuendelea.
 
Back
Top Bottom