Rais Magufuli awataka Jeshi la Polisi, Mawaziri na watendaji wa Serikali wasijihusishe na ufyekaji bangi mashambani

Eti polisi wakamate kijiji?
Pumbavu zao..tutawatembezea bakora hadi wahame na kituo chao tutakipiga moto.
Asidhani jinsi anavyowasumbua kina mbowe basi na huku vijijina anaweza kutusumbua.
Tutamtawanya yeye na polisi wake sheinzzgi
 
Tanzania inako elekea kuna mtu siku kama hii ya zuma itamfika
IMG-20180407-WA0003.jpg
 
Polisi aje anikamate eti nikafyeke bangi kama sijamtoa mavi basi ataenda kusimulia kwa huyo baba yake aliyemtuma!
 
Kama ni askari wenziwe watajuwa kuwa ni yeye aliyetenda kosa hilo..ila kama risasi ilitoka nnje ya askari hao...itakuwangumu kujuana
 
Ebu fikitia mtoto wa std 4 au 5, Mzee wa miaka 85 ambae hata kwenda msalani analazimishwa kufyeka bangi ambayo hajawahi kuiona !.
Tatizo hilo Tamko la Rais mmelichukulià kirahisi ràhisi tu,hv nyie mna akili kweli au matope nyumbu ninyi,malofa,wapumbavu,wajinga.
 
Back
Top Bottom