Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,233
- 138,749
Hovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?Kusema kweli toka moyoni nimetiwa moyo sana na wafanyabiashara na matajiri kwa namna walivyojitoa kwa kuchangia zaidi ya 1.3b kwa ajili ya wenzetu wahanga wa tetemeko.Watu hawa waliochangia jasho lao wameonyesha kwamba nchi hii ni yetu sote na tunategemeana kwa hali na mali.Sisi masikini tunasema tunawapenda matajiri ilimuradi tu uwe utajiri wa halali.Binafsi huwa nasikitishwa sana na baadhi ya kauli za Rais wetu zinazoashiria kuwa upande wa masikini "Mimi ni Rais wa Masikini na wanyonge".Tumeona matajiri wakitufaa, kutuhifadhi na kutufuta machozi.Magufuli waombe msamaha matajiri
Sahihi kabisa Mkuu. Matajiri kuchangia maafa ni wajibu wao na si hiari. Magufuli anawachora tu pembeni. Ole wao wale watakaokaa kimya.Hovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?
Pote duniani hata marekani kina Bill Gates wanachangia maafa
Hiyo ni social responsibility yao
Chadema na ukawa mnatumia maafa kisiasa hii ni mbaya sana
Ahahaha,nja ya pesa ni mbaya aisee,dah!Kusema kweli toka moyoni nimetiwa moyo sana na wafanyabiashara na matajiri kwa namna walivyojitoa kwa kuchangia zaidi ya 1.3b kwa ajili ya wenzetu wahanga wa tetemeko.Watu hawa waliochangia jasho lao wameonyesha kwamba nchi hii ni yetu sote na tunategemeana kwa hali na mali.Sisi masikini tunasema tunawapenda matajiri ilimuradi tu uwe utajiri wa halali.Binafsi huwa nasikitishwa sana na baadhi ya kauli za Rais wetu zinazoashiria kuwa upande wa masikini "Mimi ni Rais wa Masikini na wanyonge".Tumeona matajiri wakitufaa, kutuhifadhi na kutufuta machozi.Magufuli waombe msamaha matajiri
Nilijua na wewe ni muanga wa tetemeko.Kwa hiyo unataka Rais awe upande wa matajiri? Unaelewa athari zake? Hakika kama umelala mzungu wa nne usiku huu haifai kuja na mihasira yako hapa
Mkuu yale ma trioni kila cku mnayoyatangaza mmeyakusanya kwanini msiyapeleke hukoSahihi kabisa Mkuu. Matajiri kuchangia maafa ni wajibu wao na si hiari. Magufuli anawachora tu pembeni. Ole wao wale watakaokaa kimya.
kwani yuko upande gani ?Kwa hiyo unataka Rais awe upande wa matajiri? Unaelewa athari zake? Hakika kama umelala mzungu wa nne usiku huu haifai kuja na mihasira yako hapa
Wameitwa kumi wamekuja 100,wametoa 300% ya walichoombwa,wengine wamepiga ajua wakarudi kuongezaSahihi kabisa Mkuu. Matajiri kuchangia maafa ni wajibu wao na si hiari. Magufuli anawachora tu pembeni. Ole wao wale watakaokaa kimya.
hapana mkuu,ni muhanga kupitia watanzania wenzanguNilijua na wewe ni muanga wa tetemeko.
swissme
Kusema kweli toka moyoni nimetiwa moyo sana na wafanyabiashara na matajiri kwa namna walivyojitoa kwa kuchangia zaidi ya 1.3b kwa ajili ya wenzetu wahanga wa tetemeko.Watu hawa waliochangia jasho lao wameonyesha kwamba nchi hii ni yetu sote na tunategemeana kwa hali na mali.Sisi masikini tunasema tunawapenda matajiri ilimuradi tu uwe utajiri wa halali.Binafsi huwa nasikitishwa sana na baadhi ya kauli za Rais wetu zinazoashiria kuwa upande wa masikini "Mimi ni Rais wa Masikini na wanyonge"..."Serikali ninayoiongoza imechaguliwa na masikini".Tumeona matajiri wakitufaa, kutuhifadhi na kutufuta machozi.Magufuli waombe msamaha matajiri kukosea sio dhambi
Hovyo kabisa,sasa ulitaka hela atoe masikini?
Pote duniani hata marekani kina Bill Gates wanachangia maafa
Hiyo ni social responsibility yao
Chadema na ukawa mnatumia maafa kisiasa hii ni mbaya sana
Kwa hiyo unataka Rais awe upande wa matajiri? Unaelewa athari zake? Hakika kama umelala mzungu wa nne usiku huu haifai kuja na mihasira yako hapa
Nyie watu wote hakuna mlijualo ni wapi imeandikwa kuchangia maafa ni wajibu wa matajiri ?? Swala la kuchangia ni hiyari ,na si lazima ,hili linatokana na mtu alivyo guswa na tukio husika, na hakuna lolote la kumfanya asipo changia na ndio maana hata serikali inawaomba haiwaamrishi msiwe wajinga kiasi hiki, yaan kweli chama changu cha mapinduzi kimedumaza fikra za vijana wake wengi aisee tena wewe Lizaboni huwa ni mrukiaji wa mambo mengi ambayo huyafahamu wala huyajui huwa unatia aibu mara nyingi sana kwa kuongea nonsense ,hata kama ni kuitetea serikali wakati ,wingine unatia aibu kupindukia.Sahihi kabisa Mkuu. Matajiri kuchangia maafa ni wajibu wao na si hiari. Magufuli anawachora tu pembeni. Ole wao wale watakaokaa kimya.
Awe upande wa watanzania....sasa kama masikini ndio wana hati miliki ya nchi poa.Kwa hiyo unataka Rais awe upande wa matajiri? Unaelewa athari zake? Hakika kama umelala mzungu wa nne usiku huu haifai kuja na mihasira yako hapa