Rais Magufuli awakoromea sekretarieti EAC

Rais Magufuli awakoromea sekretarieti EAC

Hapa mzee hata akorome maneno yake hayana mashiko kabisa.
Hii ni jumuiya ya kikanda na yeye hata awe mwenyekiti hana mamlaka ya kuamua chochote.
Ni lazima mzee aelewe mipaka yake kabla ya kuongea au kufanya kitu kinachoweza kuwa fedheha kwa nchi.
Atawaagiza polisi wawakamate wote wanotumia pesa za jumuiya vibaya
 
Museveni angevimisi sana vikao km hivi, ndo maana alikomaa kufa kupona,
 
Hapa mzee hata akorome maneno yake hayana mashiko kabisa.
Hii ni jumuiya ya kikanda na yeye hata awe mwenyekiti hana mamlaka ya kuamua chochote.
Ni lazima mzee aelewe mipaka yake kabla ya kuongea au kufanya kitu kinachoweza kuwa fedheha kwa nchi.
Yeye ameshauri mkuu
 
Magufuli: Marais wa EAC wamefanya kosa sana kunichagua mwenyekiti

Published on 2 Mar 2016
Rais Magufuli baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Afrika Mashariki, ameiambia sekretarieti ya Afrika Mashariki kuwa marais wa jumuiya wamefanya kosa kubwa sana kumchagua kwani atawafatilia na kuwataka kubana matumizi kwani nchi zote ni maskini.


Source: JamiiForums youtube
 
hizopesa haziendi ulaya,zinarudi kwetu wananchi kutupunguzia ukali wa maisha.kwani hao viongozi wanaendaga kulala ulaya? cha muhimu wazawa wahamasishwe na kusaidiwa ili waweze kujenga mahoteli ya kifahari,wawekezaji wa nje zaidi watujengee viwanda wazalishe bidhaa sio hoteli kibao za kuspend
 
Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.

Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.

Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.


View attachment 326987 View attachment 326989 View attachment 326991
Hizo hotel hata usalama upo juu pia. Kuna vitu vingine mm huwa simuungi mkono magu. Sio lazima uwe mshamba ili uokoe hela. Unaweza ukawa unaokoa hela alafu unapoteza wakati. Ajifunze kitu kinaitwa kwenda na wakati. Asilete ukoloni kwenye kila jambo. Ni vyema akajua anawaongoza watu
 
Propaganda Machinery ya Ikulu ya Tanzania haijawahi kuwa inactive.Ndio machinery efficient kuliko nyingine yoyote nchini.
Uliisoma namba mpaka ukachanganyikiwa sumu imepungua mwilini umeaanza tena kuja.
 
Wale watalamu wa kutakatisha pesa miaka hii ya jpm itakula kwao anapiga kotekote safi sana magufuli.
 
ninacho kiona hapa ni ukurupulaji wa Magufuli ma kutokuelewa kuelewa mipaka yake,,,huku kutafuta sifa zisizo na tija kutaja mtokea puani
 
Wale watalamu wa kutakatisha pesa miaka hii ya jpm itakula kwao anapiga kotekote safi sana magufuli.
Kile kibanda laana chako mailimoja umekimaliza? Au hilo bakuli/mdomo mlango wa Lana halikulipi siku hizi?

Huna tofauti na wafu ktk fikra zako...
 
Kama kweli hayo kafanya, ni kukurupuka big time! Huwezi ku-approach mambo yanayohusisha mataifa mengine kikurupukaji kama unavyofanya hapa ndani. Watakuambia, take your time halafu ukose la kufanya na uishie na aibu.
Yetu macho.....
 
Mchezo wa karata tatu wa Magufuli,kama yuko serious kama asemavyo si aanze na IPTL na ESCROW .Nyoka wa makengeza na mbunge wa pesa ya mboga weka ndani.SETHI na Dalali Muhongo nao ndani waziri wa Utawala bora teua KAFULILA na rudisha gazeti MAWIO hapa ndiyo utakuwa mpenzi wa Mungu unayemtaja bila kumweshimu.Maana Mungu wetu ni Mungu wa HAKI asigeweza kuruhusu changuzi za kihuni za Kilombero na Zanzibar

Kafulila hana akili ya kuongoza wizara wewe acha maneno yako! Mtu aliempigia magoti Mbatia na machozi juu bila kuwa na kosa lolote hana msimamo!
 
Hizo hotel hata usalama upo juu pia. Kuna vitu vingine mm huwa simuungi mkono magu. Sio lazima uwe mshamba ili uokoe hela. Unaweza ukawa unaokoa hela alafu unapoteza wakati. Ajifunze kitu kinaitwa kwenda na wakati. Asilete ukoloni kwenye kila jambo. Ni vyema akajua anawaongoza watu
Kama Mh Magufuli hajayazugumza haya angekuwa Mnafiki.Hao maraisi wote wanajuwa msimamo wake.
Wahenga walisema"no harm no foul"
 
Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.

Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.

Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.


View attachment 326987 View attachment 326989 View attachment 326991

Sasa anataka Marais wenzake wamjoin Ikulu yake??Hivi amekutwa na nini??Heshima kwa Madicteta wenzake imeishia wapi??Au wanatakiwa wakakae kwenye hotel ipi??Hakuna mahali duniani chumba cha kulala Rais kikawa Cheap??Shule hizi nyingine sijui ni za wapi??Mfindisheni diplomasia jamani,Rais wetu anaaibika huko.
 
Back
Top Bottom