Rais Magufuli na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki amewakoromea Sekretariati ya Afrika ya Mashariki kwa ufisadi wanaoufanya ikiwemo kuwagharamia marais walioalikwa kulala hotel za gharama kubwa ambapo rais mmoja kwa usuiku mmoja analipiwa TZS 3,000,000/-. Yeye binafsi (Rais Magufuli) hulala katika nyumba ya serikali isiyogharimu kiasi kikubwa kama hicho.
Pamoja na hayo, ameonya matumizi makubwa yasiyo ya lazima/msingi ili kuokoa fedha nyingi zinazochangwa na nchi washirika wa jumuiya.
Hapa chini nimebahatika kupata namna gharama zilivyo juu na kuigharimu Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.