naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,766
- 2,420
Rais wa wanyonge
Wewe mzee wako sio mnafiki?
Ulitaka asiende kwenye msiba?
Wale watu waliokufa kule Bukoba walikua sio watu ni wanyama si ndio..???Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, duh sasa katika mazingira kama haya unafki unatokea wapi, tunaambiwa hapo ni msibani na mtu kaaenda kuwapa pole wafiwa.
Sio kwamba hawana jema bali hawajui wanachokifanya, hawa ni nyumbu au bendere fuata upepo!Unakumbuka yule mwingine walikuwa wanamlaumu kuwa ati ni wa misiba, watu hawana jema
kagera akafanye nn? serikali haikupanga yatokeeeLabda ataenda na kagera kuwapa pole
Kagera ipi kanda ipi...?!Huyu mtu ni mkanda, mbaguzi na karoho mbaya kwa mbali. Kagera yalitokea maafa yeye aka chill tu dar, na msiba ukitokea kwao anakimbilia. Wewe ni rais wa watu wote baba, sio rais wa chato. Kama na huu ni uchochezi, nikamatwe tu.
Ee, kwa kuwa ni karibu, nadhani atajitahidi!Labda ataenda na kagera kuwapa pole
Wewe mzee wako sio mnafiki?
Ulitaka asiende kwenye msiba?
Maisha ni farajaUnakumbuka yule mwingine walikuwa wanamlaumu kuwa ati ni wa misiba, watu hawana jema