Rais Magufuli awafariji wafiwa Chato, awataka wadumishe mshikamano katika kipindi hiki kigumu

Chato wafarijiwe bukoba watetemeke kujenga Nyumba zao.

Angalia rafiki wa rais wanavyoishi kwenye Nyumba mbovu.

PhD hewa
 
Sawa, hekima hizo ndiyo tunszitaka si yule mzee alienda msibani Kenya huku Bukoba tukiwa na vifo vya tetemeko la ardhi
 
Huyu mtu ni mkanda, mbaguzi na karoho mbaya kwa mbali. Kagera yalitokea maafa yeye aka chill tu dar, na msiba ukitokea kwao anakimbilia. Wewe ni rais wa watu wote baba, sio rais wa chato. Kama na huu ni uchochezi, nikamatwe tu.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, duh sasa katika mazingira kama haya unafki unatokea wapi, tunaambiwa hapo ni msibani na mtu kaaenda kuwapa pole wafiwa.
Wale watu waliokufa kule Bukoba walikua sio watu ni wanyama si ndio..???
 
Unakumbuka yule mwingine walikuwa wanamlaumu kuwa ati ni wa misiba, watu hawana jema
Sio kwamba hawana jema bali hawajui wanachokifanya, hawa ni nyumbu au bendere fuata upepo!

Lewis Carroll once said, ‘’If you don't know where you are going, any road will get you there’’.
 
Huyu mtu ni mkanda, mbaguzi na karoho mbaya kwa mbali. Kagera yalitokea maafa yeye aka chill tu dar, na msiba ukitokea kwao anakimbilia. Wewe ni rais wa watu wote baba, sio rais wa chato. Kama na huu ni uchochezi, nikamatwe tu.
Kagera ipi kanda ipi...?!
 
Back
Top Bottom