Rais Magufuli awafariji wafiwa Chato, awataka wadumishe mshikamano katika kipindi hiki kigumu

Namkubali sana huyo body guard pic ya juu mwenye shati la draft jamaa yuko vizuri hata ukimcheki tu!
 
Utuwako unaonekana Rais kipenzi cha watanzania
Na haujaanzia kwenye msiba huu;
IMG_0377.JPG

Dk. Magufuli akiifariji familia ya aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswald ambaye alifariki dunia katika ajali ya pikipiki
 
Katika msiba wa kwanza kufika kuhani Mh.Rais Dkt John Magufuli ameanza na jirani yake kwa mzee James Lufunga Mchele mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa kijiji cha Mlimani Lubambangwe Chato na kutoa pole na baadaye amefika kwenye msiba wa mzee maarufu mjini Chato mzee Mbabe Manyama aliyekuwa rafiki wa mzazi wake Rais pia alikuwa fundi malidadi wa kushona sale za Mh.Rais wakati akisoma shule ya msingi Chato.

Ati source ni ITV, is it?
 
Back
Top Bottom