Rais Magufuli awaambia wananchi wa Morogoro wajifunze kuchagua

Rais anawakumbusha kuwa sera za CCM ni bora zaidi na zinatekelezeka;
 
Na kweli Tanzania yatupasa tujifunze kuchagua. Kumchagua Mtu Kama Magufuli Ni DHIHAKA KUBWA SANA KWA WATANZANIA!
 
Raisi Magufuli pia hakupaswa kutumia hiyo lugha..

Hivi ndiyo vitu vinafanya aonekane hafai kuwa ata nyapara.

Maendeleo yanaletwa kwa kodi za wananchi ..

Huyu jamaa ni mbaguzi sana..tena roho mbaya.
 
Hatutapeleka fedha ya maendeleo kwenye majimbo ya upinzani, full stop, liwalo na liwe.
Mbona anafungua ujenzi wa barabara ya lami Kilombero kwa mbunge mtata wa CDM Lijualikali? Hapo Mikumi ni kwa mbunge bora Prof J, Mlimba kwa Kiwanga wote wa CDM!!

Acha maneno mbofumbofu weye!
 
Hajauliza ni wa chama gani bali amesema wajifunze kuchagua, sio kila mtu anaweza kuwa mbunge
Kipi usichoelewa hapo,nanukuu " hatupeleki maendeleo kwenye majimbo ya upinzani "ukisikia kauli za kukosea kuchagua ikitolewa na mwanaccm tafsiri yake hamkuchagua ccm
 
Katika hali ya kushangaza Mh.Rais wakati akijibu swala la umeme kwanza ameuliza mbunge wa eneo husika na baada ya kujibiwa kuwa ni mpinzani.' naye kawajibu ''Mjifunze kuchagua'' Magufuli

Zile kauli za maendeleo hayana vyama zinakuwa na maana gani!??
Wewe hujui wanasiasa ni watu wa aina gani? Kati ya 100% chukua 1%
 
Mh.Rais kasimamishwa na watu wakati akielekea ziarani Morogoro, wananchi hao wamemsimamisha huku wakiwa na mabango yanayoonyesha mahitaji na matatizo yao, miongon mwa kero ni kutosajiliwa kwa shule ya kijiji ambayo ipo darasa la tano.

Katika kujibu kero zao ametoa kiasi cha milioni tatu na kuagiza shule isajiliwe ikiwezekana mwezi huu.

Katika hali ya kushangaza Mh.Rais wakati akijibu swala la umeme kwanza ameuliza mbunge wa eneo husika na baada ya kujibiwa kuwa ni mpinzani.' naye kawajibu ''Mjifunze kuchagua'' Magufuli

Zile kauli za maendeleo hayana vyama zinakuwa na maana gani!??
Haaminiki. Hanaga kauli inayoeleweka. Leo atasema hiki na kesho atasema kinyume chake
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
 
hapa ndio unamuuliza msigwa alitumia nn kufikiri?? jamaa anajipambanunua kuwa ni mbaguz harafu yeye anasema hapendelei. aiseee afrika tumelogwa

..Msigwa ametusaidia kumaliza ubishi.

..alikejelewa kuwa hafai lakini akaamua kuwa muungwana.

..sasa sote tunajua ni nani anayesababisha chuki za kisiasa nchini.
 
Kama wananchi wajifunze kuchagua basi na huku wilayani ruangwa nao sijui tuseme walikosea kuchagua au wapo sahihi kwani umeme wao unakatika kila baada ya dakika 5,na ikifika usiku mnala bila umeme
 
Back
Top Bottom