Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,579
- 7,281
Wenye kuelewa watafakari kelele zinazoendelea kuhusu wapinzani wakati wa mzungo huu wa safari za muheshimiwa.Katika hali ya kushangaza Mh.Rais wakati akijibu swala la umeme kwanza ameuliza mbunge wa eneo husika na baada ya kujibiwa kuwa ni mpinzani.' naye kawajibu ''Mjifunze kuchagua'' Magufuli
Zile kauli za maendeleo hayana vyama zinakuwa na maana gani!??