Leo katika kuwaapisha wateule wako , umemuagiza RPC na RC wa Njombe kuwa amkamate tena mtu ambaye ameachiwa huru kwa mashitaka ya kuwabaka watoto 11. Hapo hapo ukawaambia Jaji Mkuu na IGP waliokuwa hapo wafuatilie kuwa amri hiyo inatekelezwa. Umeagiza washitakiwe upya.
1. Kisheria amri hii ni maintainable? Kwa mamlaka gani ya kisheria halali uliyotumia kutoa amri hiyo?
2. Ushahidi upi ambao uliowaagiza watautumia kumweka hatiani, maana ushahidi uliotolewa haukuwa na mashiko ya kisheria.
3. Kwa kumuagiza Jaji Mkuu huoni kuwa unaingilia uhuru (independence) wa mahakama? Kesho watu wakilalamika kuwa hukumu zinazotolewa ni amri toka kwako utakana kuwa huingilii mahakama?
4. Moral authority unaitoa wapi kama uliwaachia WABAKAJI akina babu Seya, with all incriminating evidence kutoka mahakama ya Hakimu Mkazi mpaka Court of Appeal ambao pia waliwabaka watoto? na baadaye mahakama ya haki za binadamu ya Afrika ya mashariki?
5. Jaji Mkuu jana wakati wa maandalizi ya wiki ya sheria, uliwaaminisha watanzania kuwa mahakama zetu zipo huru, hili unalisemeaje la kupewa amri . Hukumu itakayotoka (kama ni rufaa, review, revision as the case will be, maana najua amri itatekelezwa) kama atawekwa hatiani, itaaminika kweli kuwa haki imetendeka?
Ni hayo tu Mh. Rais.