kivangaukali
Member
- Jan 8, 2016
- 72
- 26
Kifungu kipoSijaona kifungu chochote cha sheria kuwa quoted, wishful thought(s) or report? Legal or just lawful?
Hata hivyo namna ya kumsimamisha haikuwa nzuri. Mh raisi anapaswa kuwaheshimu walio chini yake. JPJM amemhukumu Kabwe mbele ya hadhira na katika namna dhalili isiyofaa kwa binadamu yeyote.
Anyway, tulimtaka wenyewe sasa tumvumilie!
Hatutetei maovu tunatetea sheria kufuatwa kwenye ufukuzaji na usimamishaji wa wafanyakaziNdg yng umeambia usikojoe hapa ww unakojoa kwa kuwa kuna sheria ya kukulinda chini ya uvungu alafu ukikamatwa unasema sheria inasemaje kwenye ukweli tukubaliane ndio maana rwanda imenyooka kwa kusimamia ukweli
Fisadi ni mtu mdaya sana hatumtetei tunachosema sheria zifuatwe unakumbuka yale ya Samaki tulilipa bei gani?Huyu Bi mkubwa katumwa na mafisadi siyo bure,Mbona halmashauri zinazoongozwa na ukawa zimechukuwa hatua kama hizo lakini hatukusikia tamuko kutoka kwake,Leo Tu Mayor wa Municipal ya Ilala amewasimamisha wahandisi mbona hatujasikia tamuko kutoka kwa kijo na mbowe,au kosa akitumbua magufuli ndiyo jipu linauma sana kuliko ukawa wakitumbua,hahahahaha waliberali bhana.
Mbona Watanzania siyo wazuri katika kusoma na kuelewa jambo hata kama ni dogo kama hili la Bisimba? Huyu hamtetei Kabwe bali anapinga utaratibu unaotumika kuwawajibisha watu. It is so simple. Alichoongea na ulichoandika ni vitu viwili tofauti kabisa.Mbona Mwaka jana wakati Kabwe analalamikiwa Bungeni Huyo Bisimba hakujitokeza?
Mh. Rais mimi ni UKAWA ila Nakuunga Mkono, maana haya ndio tuliyokuwa tunayataka wapinzani, sasa nashangaa hata baadhi ya wapinzani wanapinga, nadhani wapinzania kwa sasa hatujui nini tunachosimamia.
Hata Anne Kilango siyo kwamba anamtetea. La hasha! Anchodai ni kwamba Kilango alijua kafukuzwa kazi kutoka kwa watu waliompigia simu. Baada ya rais kujua amesema uongo, angeweza kumtuma Katibu Mkuu Kiongozi ampigie simu na kumwambia ajira yake imefutwa. Hamtetei hata kidogo.Kwa issue ya Wilson Kebwe, Bi Simba ana hoja lakini kwa Anne Kilango hapana. Anne Kilango sio mtumishi bali kateuliwa na rais kwa hiyo she was serving at the pleasure of the president. Vyeo vinavyongukia kwenye kundi la Anne Kilango wanaweza kuondolea bila hata ya kutoa sababu. Ndivyo ilivyo duniani kote.
Na huyo Kebwe ni kitu gani hakijulikani kuhusu utendaji wake?