Hilo gazeti linaitwaje?[/
Ondoa avatar hiyo haina mpango kwa sasa.btw mmeachiwa lini na jeshi la polisi?naona umerudi uraiani.
Hiyo habari ktk gazet la kichina nimeisoma kwa umakini, walichoandika kuhusu tz na rais wake si cha kweli. Upotoshaji.
Hilo gazeti linaitwaje?
Nimeshia kucheka tu!Hiyo habari ktk gazet la kichina nimeisoma kwa umakini, walichoandika kuhusu tz na rais wake si cha kweli. Upotoshaji.
View attachment 307551
Rais Magufuli ametokea kwenye gazeti hili maarufu la kichina.
Wanaujua hii lugha tunaomba tafsiri walimweka rais kwa mantiki ipi?
Wanampongeza?
Wanaongelea gesi?
Au wanalaumu wachina wenzio wa tz kuambiwa wafute utaratibu katika kuwekeza?
Hilo gazeti linaitwaje?
Naona wameshakuachia, pole sana.Hilo gazeti linaitwaje?
Translation: My name is Huang Yi. I from the Philippines, Zamboanga. I live in Manila because there are university. I have often seen wearing a white t-shirt at school. What I have learned from the electrical engineering. I was twenty-one. I love the bike and running. I eat sandwiches in the morning I do not drink coffee. In the night I eat a bowl of rice and a bowl of rice.
Hilo gazeti linaitwaje?
Embu tumien akili hiyo pic ya kutengeneza hapo ndio mnataka kutudanganya nayo
View attachment 307551
Rais Magufuli ametokea kwenye gazeti hili maarufu la kichina.
Wanaujua hii lugha tunaomba tafsiri walimweka rais kwa mantiki ipi?
Wanampongeza?
Wanaongelea gesi?
Au wanalaumu wachina wenzio wa tz kuambiwa wafute utaratibu katika kuwekeza?