Rais Magufuli atokea kwenye Gazeti la China

Rais Magufuli atokea kwenye Gazeti la China

Ahahaaaaaa, mbona simple tu, ebu mwenye shida ya kujua juu ya hiyo taarifa ya rais wetu Magufuli kwenye hilo GAZETI la China ani - PM na kavocha ka halotel faster.
 
Last edited by a moderator:
Hapa kwa sababu ya lugha gongana ya wambura mutani
naomba wajuvi wa lugha waje hapa , linguists are urgently needed.

attachment.php





Tuwasubiri kina Jacky na Ridhiwani Kikwete (wauza unga wa Macau) watutafsirie.
 
Ahaa mi nafaham kidogo kichina hapo wanazingimzia ushindi wa magufuli na wanajadili kasi aliyoanzanayo na kwamba mpinzani wake mkubwa ameisoma namba na amekwenda kuchunga mbwa (ng"ombe) arusha
 
View attachment 307551

Rais Magufuli ametokea kwenye gazeti hili maarufu la kichina.

Wanaujua hii lugha tunaomba tafsiri walimweka rais kwa mantiki ipi?

Wanampongeza?

Wanaongelea gesi?

Au wanalaumu wachina wenzio wa tz kuambiwa wafute utaratibu katika kuwekeza?
我 叫黄奕生。 我从菲律宾,三宝颜来。我住在马尼拉因为去大学。我常常穿着白色的t恤衫在学。我学习电机工程。我是二十一岁。我爱开自行车和在跑步。我吃三明治在早,我不喝咖啡。在晚我吃一碗米饭和一碗肉。
 
Embu tumien akili hiyo pic ya kutengeneza hapo ndio mnataka kutudanganya nayo
 
Watakuwa wanawaasa wachina wenzao kuwa mambo ya pembe za ndovu na faru acheni jamaa hana simile mtaozeajela.
 
Sijui kichina, but I have these strange feelings kwamba wanasema huyu JPM akiongoza TZ angalau kwa miaka 20 ataweka misingi mizuri kwa TZ kuwa kama China kimaendeleo. 😎
Hapana mkuu, hapo walikuwa wanasema, Tanzania imefanya uchaguzi na ameshinda Rais kutoka chama chenye urafiki na wao hivyo wamehakikishiwa kuendelea kunufaika na ile mikataba ya Gesi ya miaka 7 ya majiribio pamoja na ule wa Bagamoyo.
 
我 叫黄奕生。 我从菲律宾,三宝颜来。我住在马尼拉因为去大学。我常常穿着白色的t恤衫在学。我学习电机工程。我是二十一岁。我爱开自行车和在跑步。我吃三明治在早,我不喝咖啡。在晚我吃一碗米饭和一碗肉。

Translation: My name is Huang Yi. I from the Philippines, Zamboanga. I live in Manila because there are university. I have often seen wearing a white t-shirt at school. What I have learned from the electrical engineering. I was twenty-one. I love the bike and running. I eat sandwiches in the morning I do not drink coffee. In the night I eat a bowl of rice and a bowl of rice.
 
Picha tu inaeleweka walikuwa wanamuongelea nini! Go Magufuli Go!
 
Anasema hivi, Magufuli ni jembe!! Yani miaka mitano ijayo TZ itakua imeikaribia china. Kweli Watanzania wamefanya chaguo sahihi.
 
Back
Top Bottom