Je! Miaka ijayo meno na gesi ,, bidhaa feki ni biashara itayoendelea?
Photoshop kwa mara nyingine!
"Kizuri cha jiuza na kibaya chapigiwa debe kila uchao.!"
Breaking news kesho: Magu hajaenda msalani, kazi zimemzidi....
Nime?mbuli? hii: 约翰马古富利 = John Magufuli.View attachment 307551
Rais Magufuli ametokea kwenye gazeti hili maarufu la kichina.
Wanaujua hii lugha tunaomba tafsiri walimweka rais kwa mantiki ipi?
Wanampongeza?
Wanaongelea gesi?
Au wanalaumu wachina wenzio wa tz kuambiwa wafute utaratibu katika kuwekeza?
Aisee sasa mbona tunazinguana? Hiyo uliyoandika kwa kichina ni John Malone ancient Futura, na sio John Magufuli.Nime?mbuli? hii: 约翰马古富利 = John Magufuli.
: Maghufuli called on China to give more support to TanzaniaHapa kwa sababu ya lugha gongana ya wambura mutani
naomba wajuvi wa lugha waje hapa , linguists are urgently needed.
![]()
Hilo gazeti linaitwaje?
Sielewi kwa nini wameiweka hapo picha yake....maana hu ni ukurasa wa 'matangazo madogomadogo' au mleta mada umelikunja vibaya gazeti?
"john magufuli" chinese translation -- english chinese Translation DictionaryAisee sasa mbona tunazinguana? Hiyo uliyoandika kwa kichina ni John Malone ancient Futura, na sio John Magufuli.