Rais Magufuli atokea kwenye Gazeti la China

Rais Magufuli atokea kwenye Gazeti la China

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
attachment.php

Rais Magufuli ametokea kwenye gazeti hili maarufu la kichina.

Wanaujua hii lugha tunaomba tafsiri walimweka rais kwa mantiki ipi?

Wanampongeza?

Wanaongelea gesi?

Au wanalaumu wachina wenzio wa tz kuambiwa wafute utaratibu katika kuwekeza?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1448459568.785528.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1448459568.785528.jpg
    67.6 KB · Views: 15,296
Hapa kwa sababu ya lugha gongana ya wambura mutani
naomba wajuvi wa lugha waje hapa , linguists are urgently needed.

attachment.php
 
the president hope china can give Tanzania more support. kwa kifupi ujumbe ndio huo.
 
Bila shaka hao wanashangaa meno ya Tembo kupungua supply baada ya rais Dkt Magufuli kuingia magogoni.
 
Sijui kichina, but I have these strange feelings kwamba wanasema huyu JPM akiongoza TZ angalau kwa miaka 20 ataweka misingi mizuri kwa TZ kuwa kama China kimaendeleo. 😎
 
....wanalaaani kukamatwa kwa wachina wao na jinsi meno ya tembo yalivyo pungua kule china. agenti wao mkuu amekosa ushirikiano na magogoni so wanaapa kumpiga chini akipeleka bakuli...
 
Peleka google translator utapata maana angalau ukaelewa wanachozungumzia.
 
Hiyo habari au makala itakuwa imeandikwa na balozi wa china hapa nchini ambaye huwa anavaa jezi za ccm na kuhudhuria mikutano ya ccm ile ya enzi za kinana. Lazima itakuwa manung'uniko yake na kinana kwamba Pombe hapokei simu zao.
 
wanaanda mazingira ya kuonewa huruma,lakini mwenzao keshasema HAPA KAZI TU
 
Bila shaka hao wanashangaa meno ya Tembo kupungua supply baada ya rais Dkt Magufuli kuingia magogoni.

Wanaulizana kama huyu ndo yule aliekua anawapa madili ya ujenz kwa ten percent
 
Back
Top Bottom