Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

Raila Odinga asafiri kijijini Chato kwa Rais Magufuli . Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya ameenda kama rafiki yake wa muda mrefu nia ni kutembeleana kama marafiki. Titajulishana zaidi.


SAFI SANA
 
101.jpg
 
Odinga amewekeza hapa Tanzania, so lazima awe karibu na mkuu
 
Kivyovyote Maghufuli anataka ahahakishe Odinga anakuwa rais wa Kenya urafiki wa Maghu Na huyo engineer yalianza zamani Sana.
 
Ni jambo zuri Sana! Hata hivyo, Rais wetu Dr.Magufuli na Odinga ni marafiki wa muda mrefu, wakati odinga yuko kwenye kampeini za urais Magufuli alikwenda kumtembelea pia huko Kenya.
 
Kwa style hii na Kenya kumkubali Magufuli , naona chama cha kenyata uchaguz ujao , kinapigwa
 
Mzee wa majipu safari yake ya kwanza nje ya nchi amtembelee odinga
 
Back
Top Bottom