Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

Ivi hiyo background ya makazi ni chato au wapi hapo.... Mi sijajua ni wap bado tusaidiane hapa
 
Diplomasia ya nje Rais wetu anafahamiana na huyu Raila Odinga tu.
 
Mimi nahisi km hizi habari ni kweli then its not health for diplomatic reason. this is not a good move.. hasa ukizingatia siasa za kenya.. hawa watu hata kama ni marafiki jpm need to stay away from Odinga..kuepuka tafsiri tofauti kutoka kwa wahafidhina wa kikuyu huko kenya
 
Wanapanga jinsi umrudishia zile pesa alizomsaidia wakati wa uchaguzi na kumuomba jinsi ya invest pamoja maana akicheza atatoka kama alivyoingia! Akigusa tu wa tanzania fitna wataanika kila kitu! Sasa lazima amtumie Odinga,subiri deal zinakuja!
 
Nilitarajia ilo maana ni marafiki kitambo sana hawa na huwa wanatembeleana
 
Raila Odinga asafiri kijijini Chato kwa Rais Magufuli . Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Kenya ameenda kama rafiki yake wa muda mrefu nia ni kutembeleana kama marafiki.

Tutajulishana zaidi.
Hamna haja ya kujulishana zaidi,nikawaida marafiki kutembeleana...fanya kazi sasa
 
Rais Kenyatta ataanza kuwa na mashaka ,lakini asihofu..ziara hii haina uhusiano wowote na uchaguzi wa mwakani.
 
Back
Top Bottom