Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
watazungumzia bomba la mafuta? Masikini Odinga hajui amuunge mkono Magufuli au Kenyatta katika hili!
Uchaguzi ujao ni zamu ya either Wetangula au Musyoka Odinga ni kama Maalim Seif wa Tz/Znz lakini hamna atakaye nyakuwa urais wa Kenya ila ni Kenyatta tu na Ruto Samuel kama Deputy President. Lakini 2022 Rais ni Ruto Samuel na deputy ni Professor wa sheria KindithiHahaha odinga kutawala Kenya ni kama vile kuona bao la kuku
Kiingereza kilikuja na meliI like Odinga as I like Magufuli as I liked Dr Slaa
Raila ameshakosoa serikali ya uhuru na kuilaumu kuwa imeitelekeza northern Kenyawatazungumzia bomba la mafuta? Masikini Odinga hajui amuunge mkono Magufuli au Kenyatta katika hili!
Urafiki wao ulianza wakati Dr. Magufuli ni Waziri wa Ujenzi na Odinga ni waziri wa barabara kwenye utawala wa Mzee Kibaki awamu ya kwanza kabla hawajafarakana ndani ya NARCNi jambo zuri Sana! Hata hivyo, Rais wetu Dr.Magufuli na Odinga ni marafiki wa muda mrefu, wakati odinga yuko kwenye kampeini za urais Magufuli alikwenda kumtembelea pia huko Kenya.
100% chief sijawahi kumuona odinga kama presidential material sijui Kwanini lkn naona kuanzia historia ya mzee wake mpk yy naona kabisa dalili za kuja kuwa rais wa Kenya ni ndoto za alinacha.Uchaguzi ujao ni zamu ya either Wetangula au Musyoka Odinga ni kama Maalim Seif wa Tz/Znz lakini hamna atakaye nyakuwa urais wa Kenya ila ni Kenyatta tu na Ruto Samuel kama Deputy President. Lakini 2022 Rais ni Ruto Samuel na deputy ni Professor wa sheria Kindithi
Urafiki wao ulianza wakati Dr. Magufuli ni Waziri wa Ujenzi na Odinga ni waziri wa barabara kwenye utawala wa Mzee Kibaki awamu ya kwanza kabla hawajafarakana ndani ya NARC
hata jpm alionekana siyo presidential material lakini akawa... the same applies to watu kama putin, kenyatta, kabila, n.k.100% chief sijawahi kumuona odinga kama presidential material sijui Kwanini lkn naona kuanzia historia ya mzee wake mpk yy naona kabisa dalili za kuja kuwa rais wa Kenya ni ndoto za alinacha.
Subiri uone kama siasa Za Kenya zina mambo ya majina ya mfukoni au mambo ya wazee wa kitengo. Odinga kua raisi wa Kenya ni never ever, mpk marekan walimkingia kifua last election lkn akachinjiwa baharini kama kawahata jpm alionekana siyo presidential material lakini akawa... the same applies to watu kama putin, kenyatta, kabila, n.k.
Afu Kabila unamuwekaje Kundi moja na mwanaume Putin, acha mambo yako bana. Kabila muweke level za wenye akili ndogo kama mugabe basi.hata jpm alionekana siyo presidential material lakini akawa... the same applies to watu kama putin, kenyatta, kabila, n.k.
Ndio. Kule Nyegezi alifadhili, kujenga na kufungua Barabara inayobeba Jina lake, sijui Chato nako kutajengwa barabara itakayoitwa Raila Odinga Rodi?!Urafiki wa damu huu na vitendo pia
Hahaha asee kumbe humu tunajadili mambo na watu wenye upeo mdogo saana, hahah. Acha uongo wa vijiweni ww Ile barabara ya kule nyegezi kona hakutoa hata sh. 10 yake Kwny kuijenga alipewa heshima ya kuifungua yy, kila barabara yenye Jina la mtu nchi hii ingekua lazima mwenye Jina awe amechangia ingekua ni shiiiiiida.Hapo mwanza kuna kenyata road ye kenyata alichangia sh. Ngapi? Mandela road, Barack Obama road,etcNdio. Kule Nyegezi alifadhili, kujenga na kufungua Barabara inayobeba Jina lake, sijui Chato nako kutajengwa barabara itakayoitwa Raila Odinga Rodi?!
Amewekeza mradi gani na upo wapi na ni wa thamani gani?Odinga amewekeza hapa Tanzania, so lazima awe karibu na mkuu