Rais Magufuli atapokea ripoti ya mchanga wa madini leo Ikulu, Redio na TV kurusha LIVE!

Hivi ukiwa lumumbaz lazima uwe fala kidogo au wanamaslah binafsi yaaan fisi ni hatari kwa mustakabadhi wa nchi hiii
 
Natamani asome hapo hapo findings ili watz tujue wapi tulikuwa tunaibiwa?? mambo ya kukama makabrasha na kupotea nayo hayana maana bora hata wangekaa kimya tu, so siyatarajii kabisa.

Jambo muhimu natamani aje na jibu la kukaribisha wawekezaji katika kuazlisha bidhaa zinazotumika migodini ili angalau kama nchi tuuze migodini na kufanya pesa ibaki nchini. Kwa sasa kila kitu kinaagizwa Australia au SA na hivyo margine ya deni la Gharama za uwekezaji kukua kwa kasi kiasi ambacho hata mgodi uwepo miaka 50 tutaendelea kulalamika kuibiwa tu.
 
Maajabu, hili nalo linahitaji matangazo!
Nchi ya ajabu, kuna haja gani ya kuita vyombo vya habari! Umuhimu ni upi? I can swear, Maprofesa hao watataka kumfurahisha kuwa tulikuwa tunaibiwa! Kuna madini mengi etc! They can not go against his prediction. na ukiona amekuwa na ujasiri wa kuita vyombo vya habari, ujue amefurahishwa! Tukumbushane uzi huu muda ukifika!
 
hii report itakua kinyume na matarajio ya baba Bashite kama tu ile report ya Faru John.
Na wewe utajivunia utaifa wako kweli ukiwa sirini? Au umerithi gene za kina mangungo? Maana unaona ni mara mia watanzania wakaumbuka ili mafisadi wapate ushindi...Pole safari hii tunaye anayemaanisha, kila neno lake halidondoki bure!
 
Ninanusa harufu ya jambo kubwa hapa, ambalo wananchi wote tunatakiwa kuungana kama wakati wa vita. Sasa kama kuna miche ya dhahabu kwenye makontena tukio lipi litafuata? Kuna namna yeyote ya kuweza kuwashitaki wezi wetu au ni kuvunja mikataba halafu watugeuzie kibao baadae?
Kwani sisi hatuwezi kuwashitaki? Kwanza walishajistukia kama unafuatilia...Safari hii hawana pa kuchomokea watakuwa wadogo kama piriton...
 
Ingefanywa GIZANI nadhani ungelalama zaidi ya ulivyolalama sasa.....Aliye waroga nyie SIJUI YUPO WAPI JAMANI......daaaah
Watu wanajifanya wajuaji kwa kila kitu kumbe hawajui chochote yawezekana aliyewaroga alishakufa yaani kila kinachopita mbele yao hakifai wanadis tu
 
Maajabu, hili nalo linahitaji matangazo!
wewe nawe ni mengineyo au factor 'U' katika takwimu. Yaani suala ambalo ni core [matter for] to the future of our national economy and development wewe unataka kulinganisha na mambo ya akina Msando kujiuzulu ushauri wa CEO wa chama!
 
Back
Top Bottom