Rais Magufuli: Askari wa Usalama Barabarani aliyetukanwa na Mke wa Waziri apandishwe cheo

Amenikumbusha kiagli 1998 askari usalama alimkamata mkuu mmoja wa jeshi kwa kuegesha sehem isoyoruhusiwa akiwa na gari binafsi akaja juu na kumtishia saana yule trafik watu wa usalama wakamjulisha raisi kagame ikatoka amri alipe na askari apanda cheo siku ya pili
 
Hiki ndicho kitu kilikuwa kinakosekana Tanzania. Mtu akiwa kiongozi mfano waziri, basi familia nzima nayo inakuwa ni mawaziri. Walau sasa tutaheshimiana.
Na ndio maana hata Ukawa siku hizo zinanyweka sana
 
Mkuu....
Ebu tuwekee jina la huyo waziri mwenye mke ma2c.
Then utuwekee ubuyu wa saga la askari kutukanwa, lini na wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…