Kaira
Senior Member
- Jan 8, 2018
- 122
- 114
And your dustbin.Hili nayo ni movie nyingine ya mkulu kutaka kujiongezea sifa. Maana ni mpenda sifa sana. .
This is Rubbish!
And your dustbin.Hili nayo ni movie nyingine ya mkulu kutaka kujiongezea sifa. Maana ni mpenda sifa sana. .
This is Rubbish!
MImi kisa? haaaa! tatizo ni kuwa hamumwambii ukweli haiwezekani kuonekana yeye peke yake, kuna wengi lazima waonekane, alisema tuache kuangalia TV tuchape kazi, sasa anovyojionesha yeye hataki tuchape kazi? Amefunga bunge live tunachapa kazi lakini mapato na uchumi unashuka, wa kujinyonga mimi au nani?Jinyonge
kuna jamaa hapa alipoanza kuona matangazo akasifia sana kuwa huyu jamaa anafanya kazi masaa 24, sasa weye wasema hana kazi 😂 😂 😂Hivi huyu JAMAA hana kazi za kufanya za Nchi
ni jobless km mimi hapaMjinga ni wewe unayeangalia TV muda huu
jiulize why mahusiano na CAG office si mazuri? nyie wapumbavu nyie,anywayHongera Rais Magufuli maana ingekuwa wakati wa Mkapa au Kikwete dhahabu hii ingepaa juu kwa juu.Anayesema Rais Magufuli ni mpigaji anatumikishwa na mabeberu,ni kuadi wa mafisadi,hana nia njema na nchi yetu na ni libeberu jeusi.
Kabudi anaeleza historia za mto nile utafikiri hiyo dhahabu imechimbwa huko, yaani anaeleza mipaka ya nchiiliyowekwa na wajerumani.Kabudii..hahhahaha
ILiandikwa sema sasa hivi watu wameamua kukamata vyombo vya habari wasikike peke yao, wakati ule mengi yatangazwa mengine yalitupita. PoleNimetafakari nimeshindwa kuelewa,hakukuwahi ripotiwa kuwa kuna dhahabu imetoroshwa Tanzania,wala taarifa za kukamatwa kwake ghafla tu inakabidhiwa,hatukuambiwa nani amekamatwa,nani alitorosha na hiyyo dhahabu ilipitaje na kufika kenya.Intellijensia ya sasa kweli si ya dunia hii.Nadhani vyombo vya habari vimelelala na maafisa habari wa goverment wamelala,vivyovivyo wasemaji wa dola wamezembea.
Hongera mtukufu maana kila siku uko live nasi twakutazama kila siku usituulize mwakani kama hatukufanya kazi.tumeutenga Muda wetu na tunakuangalia wewe, majembe tumekodisha.
Zamani tulitazama bunge live kusikiliza mawiziri ukiwemo wewe kwa kuwa ndio waliokuwa wanapanga shughuli za maendeleo lakini sasa hawapangi tena ili wanaambiwa tu cha kufanya,Bunge la nini kama ameshaambiwa jenga barabara hapa na si kule.sio kigezo cha kiuchumi tena.
Ahsante mtukufu kwa kuwa media nazo hususani TBC haihangaiki tena kujali muda wa live kwa mujibu wa sheria na wala wadhamini wake najua sasa wanapata pesa mingi toka kwa umma.Nashukuru sasa tumeongezewa dhifa za kitaifa.
Zamani tulizoea Rais anaonekana live mara chahe has kwenye dhifa kubwa kubwa za kitaifa kwa kuwa kufanya hivo kungefanya Rais azoeleke na wananchi wachulie poa na hata siku akiwa na jambo muhimu watu wachulikilie kuwa kawaida ya rais kuongea na wasikie kusubiri neno la kiongozi wao.sasa twayasikia kila siku
Hongera sana mheshimiwa.
Watu wengi ni wavivu wa kufikiria. Hawajui pia hili swala limekaa kidiplomasia zaidiHiyo nayo ni kazi pia ,atatumia muda wa tukio hili kuongea na taifa,acha ujinga
Kilo 35 Ni Kama Bei ganiAmina!
Kabudi anaeleza historia za mto nile utafikiri hiyo dhahabu imechimbwa huko, yaani anaeleza mipaka ya nchiiliyowekwa na wajerumani.