Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

A prime suspect, Patrick Ayisi Ngoi, was arrested in Kenya and repatriated to Tanzania for prosecution in January this year.
 
Rais Magufuli: Nilikuwa nawaambia hapa tungekuwa sisi watu wabaya hii dhahabu wewe ungeikata huko moja kwa moja wala hela zisingekuja. Nikawaambia ningekuwa mbaya tungezungumza kwa siri wasingeona hizi hela, tungegawana. Wangebaki kuandika kwa magazeti ila hela imeliwa

Nini maana ya hii sentensi
 
Hii hadithi inaonekana ni Another Public Relations Affair iliyoigizwa mahususi kuhadaa umma ili kuonyesha jinsi watu "Wanavyopigania rasilimali za taifa". This is a stage managed event. Nothing more.
 
Naunga mkono hoja, sasa tunachosubiri sio kusubiria ni dhahabu ya nani, bali walioipitisha toka Mwanza hadi Kia undected halafu kuja kukamatiwa Nairobi!.
Ingekuwa ni enzi za Nyerere, saa hizi saa nyingi barua za Mawaziri wawili zingeishatua Meza kuu!. Sijui hawa watu wanasubiri nini au mpaka kitokee nini ndipo wawajibike?!.
P.
Wa sasa hivi hawawezi kujiuzulu,
Watoto wao watakula nn
 
Back
Top Bottom