Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

Huku Kenya amekamata waziri wa wizara ya fedha, na viongozi wengine wakuu, nchi yote tunamjadili kwa sasa, naona ameibua mengine kule Tanzania, leo yupo ikulu anapokeza dhahabu nyingi ilyokamatwa huku, natumai huyu jamaa anapewa ulinzi mkali maana nyaya anazokanyaga ni za umeme.
Halafu Watanzania muache kuachia raslimali zinaliwa hadi inabidi zikamatwe huku, hiyo dhahabu ni nyingi sana kwa kweli.

------------------

A delegation from Kenya’s president Uhuru Kenyatta is today set to hand over gold that was seized by Kenyan police in Nairobi.
According to the directorate of presidential communications the event is set to take place at State House Dar es Salaam and will be presided over by President Magufuli.
 
Hongera Rais Magufuli maana ingekuwa wakati wa Mkapa au Kikwete dhahabu hii ingepaa juu kwa juu.Anayesema Rais Magufuli ni mpigaji anatumikishwa na mabeberu,ni kuadi wa mafisadi,hana nia njema na nchi yetu na ni libeberu jeusi.
jiulize why mahusiano na CAG office si mazuri? nyie wapumbavu nyie,anyway
 
Nimetafakari nimeshindwa kuelewa,hakukuwahi ripotiwa kuwa kuna dhahabu imetoroshwa Tanzania,wala taarifa za kukamatwa kwake ghafla tu inakabidhiwa,hatukuambiwa nani amekamatwa,nani alitorosha na hiyyo dhahabu ilipitaje na kufika kenya.Intellijensia ya sasa kweli si ya dunia hii.Nadhani vyombo vya habari vimelelala na maafisa habari wa goverment wamelala,vivyovivyo wasemaji wa dola wamezembea.

Hongera mtukufu maana kila siku uko live nasi twakutazama kila siku usituulize mwakani kama hatukufanya kazi.tumeutenga Muda wetu na tunakuangalia wewe, majembe tumekodisha.

Zamani tulitazama bunge live kusikiliza mawiziri ukiwemo wewe kwa kuwa ndio waliokuwa wanapanga shughuli za maendeleo lakini sasa hawapangi tena ili wanaambiwa tu cha kufanya,Bunge la nini kama ameshaambiwa jenga barabara hapa na si kule.sio kigezo cha kiuchumi tena.

Ahsante mtukufu kwa kuwa media nazo hususani TBC haihangaiki tena kujali muda wa live kwa mujibu wa sheria na wala wadhamini wake najua sasa wanapata pesa mingi toka kwa umma.Nashukuru sasa tumeongezewa dhifa za kitaifa.

Zamani tulizoea Rais anaonekana live mara chahe has kwenye dhifa kubwa kubwa za kitaifa kwa kuwa kufanya hivo kungefanya Rais azoeleke na wananchi wachulie poa na hata siku akiwa na jambo muhimu watu wachulikilie kuwa kawaida ya rais kuongea na wasikie kusubiri neno la kiongozi wao.sasa twayasikia kila siku

Hongera sana mheshimiwa.
 
ILiandikwa sema sasa hivi watu wameamua kukamata vyombo vya habari wasikike peke yao, wakati ule mengi yatangazwa mengine yalitupita. Pole
 
Wa Kenya wana moyo nzuri sana, Ng'ombe wa Kenya walikamatwa Tanzania wakapiga mnada. Je Tanzania tungekamata kitu cha thaman Kenya tusingerudisha
 
Back
Top Bottom