Rais Magufuli ashuhudia makabidhiano ya Dhahabu Kg 35 iliyokamatwa nchini Kenya

Rais Magufuli atashuhudia makabidhiano ya dhahabu iliyokamatwa nchini Kenya itakayowasilishwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya Mhe. Kenyatta leo Julai 24, 2019.

Hafla ya makabidhiano hayo itafanyika Ikulu Jijini DSM kuanzia saa 4:00 asubuhi.

Has the coalition of willing (COW) changed composition by JPM replacing PK? Is UMK visit to Chato and return of “stollen gold” to JPM a silent request for TZs EPA signature?
 
mkuu tuweke wazi ilikamatwa vipi na imepitaje border mpaka kufika kenya? na kwanini iletwe na mjumbe wa karibu wa uhuru na si kiongozi mwandamizi wa serikali ya kenya...Hiyo dhahabu ina worth kiasi gani?
Nakumbuka kusoma kuhusu hii dhahabu: kuna Mtanzania alitoka Mwanza kwa ndege ya Precision kwenda Kenya akiwa njiani kwenda Dubai. Alipofika Kenyatta International Airport alikamatwa na Mamlaka ya Mapato ya Kenya akiwa na hiyo dhahabu bila vibali. Dhahabu ikachukuliwa na hiyo Mamalaka na Mamlaka za Tanzania zikafahamishwa. Nakumbuka kusoma hivyo kwenye magazeti
 
Yeah ndio ilivyokuwa

DPP wa Kenya sio kiongozi au mbona maswali ya kitoto

Back
Top Bottom