Rais Magufuli ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Siasa ni upumbavu fulani hivi sasa nagundua. Walimtukana Kikwete, wakamwita dhaifu, akamaliza muda wake, sasa ni kumtukana Magufuli kwenda mbele.
Ninachokiona ni kwamba, wakosoaji wa kisiasa lengo lao si maendeleo ya watanzania, Bali wanatafuta zamu ya kutawala, tunaoshabikia siasa yatupasa kuwa makini. Unawezaji mtu kuuliza walitumia lugha gani!, ulitaka watumie lugha gani! Mimi ninachojua lengo la lugha yoyote ni kuwasiliana. Kwa hiyo walichokifanya ni kuwasiliana hata ingekuwa ni kwa lugha ya alama. Wanaofanya ujinga huu wanadhalilisha hata upinzania wenyewe.
Ni nani haswa unamtetea hapa? Wananchi kudanganywa kuwa raisi ameshiriki mkutano ndo jambo zuri kwako? Hebu tulizana ndugu.
 
Haya yote kasababisha ras simba, kanuni zake za ajabu zote zilifeli, sasa tumebaki kulilia eti kiswahili kitambulike duniani. Wametupuuza mikutano yote inaendeshwa kwa kingredha
 
anko anatisha si unaona wakina Uhuru wameona noma kuvaa barakoa
Mnaandika vitu bila ya kuelewa.hao akina kenyata hawakuvaa barakoa sababu wapo ofisini kwao peke yao na wasaidizi wao.wote wamepimwa hawana corona lakini wakitoka nje tu ya mlango,wote wanavaa barakoa.jamani msiandike vitu msivyovifahamu.
 
Back
Top Bottom