Rais Magufuli ashiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

Hv hatuwezi kupata haya mazungumzo yao...

Wakuu wengine wameweka waliyozungumza wazi ktk media ikiwemo Youtube

27 .02. 2021

MUSEVENI THANKS RWANDA'S KAGAME FOR THE JOB WELL DONE AS EAC CHAIR, ROOTS FOR EAC INTEGRATION.

 
It was scripted hollywood film!
paulkagame_20210228_2.jpg
490273625.jpg
 
Siasa ni upumbavu fulani hivi sasa nagundua. Walimtukana Kikwete, wakamwita dhaifu, akamaliza muda wake, sasa ni kumtukana Magufuli kwenda mbele.
Ninachokiona ni kwamba, wakosoaji wa kisiasa lengo lao si maendeleo ya watanzania, Bali wanatafuta zamu ya kutawala, tunaoshabikia siasa yatupasa kuwa makini. Unawezaji mtu kuuliza walitumia lugha gani!, ulitaka watumie lugha gani! Mimi ninachojua lengo la lugha yoyote ni kuwasiliana. Kwa hiyo walichokifanya ni kuwasiliana hata ingekuwa ni kwa lugha ya alama. Wanaofanya ujinga huu wanadhalilisha hata upinzania wenyewe.
 
Haiwezekani..! Magu hawezi kushiriki mikutano ya kimataifa.. Mkutanoamewakilishwa.hiyo habari sio kweli
Mkutano kashiriki Samia halafu wao wanadanganya wadanyanyika eti Jiwe kashiriki.

Ila awamu hii, duuh tukizeeka tuna cha kusimulia aisee.

Sijui Kwanini kitabu cha Mfalme Juha kiliondolewa kwenye syllabus
 
Back
Top Bottom