Rais Magufuli apokea ripoti za Bunge kuhusu Almasi na Tanzanite, awataka wateule wote waliotajwa wakae pembeni

Narudia tena kusema na kusisitiza kuwa kwa masuala mazima ya Ujasusi Mheshimiwa Rais haya aliyoyasema / kuyaweka wazi amekosea sana / kwa kiasi kikubwa mno.
Hajakosea, kamtaja Mruma sababu keshamaliza kazi yake na ana 70 yrs now na hategemei kumtumia kwenye hizo mission tena labda atabaki ikulu kama mshauri. Walioko kazini hajatajwa hata mmoja ndo maana kasema aliwatuma maaskari wengi.
 
Maana yeke bora polic wauwe ila walinde almasi isiibiwe.

‍♂️naenda zimbobo.
 
ccm ni pango la wezi, waongo na matapeli. Hawaaminiki hawa. ccm wakwibe , ccm wawatafute wezi , ccm wachunguze ; na ccm hawa hawa watoe hukumu . Ni usanii tu huu.
 
Ndio tatizo la TISS kutokua huru, misheni kama hizi zingetakiwa kufanywa kwa usiru mkubwa. Yeye mwisho wa siku anapewa ripoti halafu anachukua hatua.
Huwezi kumnyima taarifa,ukifanya hivyo ni kama hukubaliani na utawala wake..

Kazi ni yeye kuzitunza
 
Pamoja na vyombo vya Dola kufuatilia wote waliotajwa ktk sakata la ufuatiliaji biashara ya Almasi na Tanzanite ili kila mmoja atendewe haki lakini wale aliowateua Hataki wafuatiliwe wakiwa bado Serikalini.
Punguza haraka, katoa rai wajipime wenyewe!!,
Ili Uchunguzi ufanyike pasipo kikwazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccm ni pango la wezi, waongo na matapeli. Hawaaminiki hawa. ccm wakwibe , ccm wawatafute wezi , ccm wachunguze ; na ccm hawa hawa watoe hukumu . Ni usanii tu huu.
Kwani hujui maana ya mabadiliko? Hata kuyakemea tu ni mabadiliko maana hatukuwahi kusikia kiongozi wa nchi akifanya haya. Utakubali kesho utakapoona idadi ya mawaziri na wateule wengi wakipelekwa Keko au kujiuzuru kama alivyoagiza.
 
Back
Top Bottom