VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Hajakosea, kamtaja Mruma sababu keshamaliza kazi yake na ana 70 yrs now na hategemei kumtumia kwenye hizo mission tena labda atabaki ikulu kama mshauri. Walioko kazini hajatajwa hata mmoja ndo maana kasema aliwatuma maaskari wengi.Narudia tena kusema na kusisitiza kuwa kwa masuala mazima ya Ujasusi Mheshimiwa Rais haya aliyoyasema / kuyaweka wazi amekosea sana / kwa kiasi kikubwa mno.
Huwezi kumnyima taarifa,ukifanya hivyo ni kama hukubaliani na utawala wake..Ndio tatizo la TISS kutokua huru, misheni kama hizi zingetakiwa kufanywa kwa usiru mkubwa. Yeye mwisho wa siku anapewa ripoti halafu anachukua hatua.
Kweli tuna wivu wa kishamba. unafurahiaje mtu kuhujumu uchumi?Watanzania tuna wivu wa kishamba sana,hivi unafurahiaje mwenzio kufukuzwa kazi.
Punguza haraka, katoa rai wajipime wenyewe!!,Pamoja na vyombo vya Dola kufuatilia wote waliotajwa ktk sakata la ufuatiliaji biashara ya Almasi na Tanzanite ili kila mmoja atendewe haki lakini wale aliowateua Hataki wafuatiliwe wakiwa bado Serikalini.
haya ndio mambo yanayotakiwa.Keshasema spika amwandikie yeye atawashughulikia kwenye chama chake maana yeye ni mwenyekiti. Sijui hadi sasa wameshakamatwa wangapi maana kasema atashangaa kama kuna watu hawajashikwa hadi sasa! Sokoine kafufuka.
Naamini context ya mazungumzo ya mkuu imelalia namna tulivyodukua data, emails etc za wale wa dhahabu..
Huwezi kumnyima taarifa,ukifanya hivyo ni kama hukubaliani na utawala wake..
Kazi ni yeye kuzitunza
Maswi sindiyo alipelekwa TRA kwa kazi maalumu muda haukupita Kompyuta za TRA zikapotea.....Maswi lazima aende Na maji
Mkuu deal na system kumfukuza mtu kazi sio suluhisho.Kweli tuna wivu wa kishamba. unafurahiaje mtu kuhujumu uchumi?
Kwani hujui maana ya mabadiliko? Hata kuyakemea tu ni mabadiliko maana hatukuwahi kusikia kiongozi wa nchi akifanya haya. Utakubali kesho utakapoona idadi ya mawaziri na wateule wengi wakipelekwa Keko au kujiuzuru kama alivyoagiza.ccm ni pango la wezi, waongo na matapeli. Hawaaminiki hawa. ccm wakwibe , ccm wawatafute wezi , ccm wachunguze ; na ccm hawa hawa watoe hukumu . Ni usanii tu huu.
mr dar kumemfanya nn mkeo mbona wapachukia sanaNi sahihi sana. We ukimfumania nkeo anananiliu utafanyaje. Au ndio ninyi wanaume wa Dar
Tena huyu alikuwa atupendi machinga tuwepo barabara kiu yake alitaka tuondolewe,utumishi wa umma sio kitu cha kudumu.mahusiano mema na watu udumu.fisi chawene,huyu alisema tukiandamana polisi watupige shaba tu...