lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Mh mtukufu rais magufuli angeendelea kupambapana na majipu,na akaachana na upinzani angefika mbali sana,lkn akiendelea kupambana na upinzani hatafika mbali sana kwenye malengo yake ya maendeleo,sababu kubwa ni moja tu,tanzania ni changa sana,bado hatujawa wamoja sana,kwa hiyo kupambana na wapinzani kuna hatari ya kuligawa taifa kiitikadi ya vyama vya siasa,pili majipu yanaweza kutumia sababu ya mh rais kupambana na upinzani kumuhujumu mh rais
Ningepata nafasi ya kukutana na mh rais ningemshauri aachane na wapinzani wake kisiasa,aelekeze nguvu zake kwenye kupambana na majipu na umasikini,maradhi na ujinga
Ningepata nafasi ya kukutana na mh rais ningemshauri aachane na wapinzani wake kisiasa,aelekeze nguvu zake kwenye kupambana na majipu na umasikini,maradhi na ujinga