Rais Magufuli angeendelea kupambana na majipu akaachana na wapinzani angefika mbali sana

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Mh mtukufu rais magufuli angeendelea kupambapana na majipu,na akaachana na upinzani angefika mbali sana,lkn akiendelea kupambana na upinzani hatafika mbali sana kwenye malengo yake ya maendeleo,sababu kubwa ni moja tu,tanzania ni changa sana,bado hatujawa wamoja sana,kwa hiyo kupambana na wapinzani kuna hatari ya kuligawa taifa kiitikadi ya vyama vya siasa,pili majipu yanaweza kutumia sababu ya mh rais kupambana na upinzani kumuhujumu mh rais
Ningepata nafasi ya kukutana na mh rais ningemshauri aachane na wapinzani wake kisiasa,aelekeze nguvu zake kwenye kupambana na majipu na umasikini,maradhi na ujinga
 
Hata siku 365 hajafikisha...duh!!!

Ila vizuri apigishe danadana watu wanyooke kila pande
 
Mh mtukufu rais magufuli angeendelea kupambapana na majipu,na akaachana na upinzani angefika mbali sana,lkn akiendelea kupambana na upinzani hatafika mbali sana kwenye malengo yake ya maendeleo,sababu kubwa ni moja tu,tanzania ni changa sana,bado hatujawa wamoja sana,kwa hiyo kupambana na wapinzani kuna hatari ya kuligawa taifa kiitikadi ya vyama vya siasa,pili majipu yanaweza kutumia sababu ya mh rais kupambana na upinzani kumuhujumu mh rais
Ningepata nafasi ya kukutana na mh rais ningemshauri aachane na wapinzani wake kisiasa,aelekeze nguvu zake kwenye kupambana na majipu na umasikini,maradhi na ujinga
Sidhani kama akili yako iko sawa. Rais amepambana na wapinzani kivipi? Rais anahusikaje? Kwa Hiyo watu wakivunja sheria wasikamatwe na kufikishwa mahakamani eti kwa kuwa ni wapinzani? Kila haki ina wajibu. Ukivunja sheria unashugulikiwa kisheria na sio kisiasa. Nikuulize, Kwani watu wangapi wanakamatwa kila siku na kufikishwa mahakamani katika Nchi hii?? Inamana kila anayekamatwa ni Rais anahusika?
 
We njaa imekuamusha usiku huu kuandika utumbo? Mbona majipu mnalia!! Mafisadi manalia!! Anajenga barabara mnalia!!

Maendeleo hamtaki mnataka siasa. Tanzania tu.
 
Back
Top Bottom