Rais Magufuli anastahili tuzo ya Mo Ibrahim

Rais Magufuli anastahili tuzo ya Mo Ibrahim

Hivi unaelewa kuwa rushwa sasa hivi inakua na kushamiri kwa namna ya ajabu?
Siwezi kataa lisemwalo lipo. Lakini nafikiri tuna mtazamo tofauti kuhusu rushwa.

Nikupe mfano mmoja tu, Mimi nataka passport ya kusafiri kwenda Pakstan na sina passport unajua mambo yalivyo kuwa yanatendeka zamani? Hapo nafikiri sina haja ya kueleza mengi. Utakuwa umenielewa.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa katika kila ofisi na kila idara ya serikali. Ukilinganisha na sasa unaonaje? Au ndiyo umesha sababu?
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.

Utakuwa umevuta
 
Kwani Mo wameanza kutoa tuzo kwa madikteta na maviongozi yenye roho mbaya kwa raia wake????evidences tafadhali
Naomba nikuulize kuna madikteta wangapi unawafahamu? Madikteta hao wana sifa gani? Umesha wahi kumsikia Napoleon Bonaparte wa Ufaransa? Je yeye naye alikuwa dikteta au sio?

Unajua kwa nini nakuuliza hivi, ni kwa sababu nataka ujue kuwa kuna dikteta na dikteta. Udikteta ni relative, inategemea watu ni wa upande upi? Unawaathiri vipi na wananufaika nao vipi?

Napoleon Bonaparte ni mfano mzuri sana, kwani enzi ya tutawala wake aliyafanya haya;

1- He established a system of public education,

2- abolished the vestiges of feudalism,

3- emancipated Jews and other religious minorities,

4- abolished the Spanish Inquisition,

5- enacted legal protections for an emerging middle class, and

6- centralized state power at the expense of religious authorities.

Kwa hiyo utaona pamoja na yote hayo mazuri na ya msingi kwa binadam wakati ule, bado waingereza na mataifa mengine walimwona yeye ni Dikteta.

Wito wangu kwako; elewa kwanza unataka nini kabla hujaanza kuimba neno ambalo hulijui maana yake.
 
ukisikia neno dikteta unaelewa nini???
 
Jifunze kuyaona na kukubali mema na mazuri yanayo tokea katika nchi yako hata kama una chuki ya kuwa upande wa ma-looser.

Nitajie nchi duniani ambayo kiongozi wake within a short periode kaleta nidham maofisini na kupunguza rushwa kwa kiasi kikubwa namna hiyo bila kumwaaga damu wala kumnyoshea mtu mtutu hasa katika nchi za kiafrik ambako u-nepotism umeshika mkondo wake.

Magufuli ameweza na anastahili tuzo. Na atapata tuzo hata kama sio leo, lakini iko siku, hata kama yeye mwenyewe hata ishuhudia kuna Generation itakuja kumkumbuka na kumpa anacho stahili.
Sikia mzee,hilo la mafanikio unaliona wewe tu na wachache wa kariba kama ya kwako,
Ni hivi mzee...nakuhakikishia kuwa ukifikiri kwa kutumia tumbo huwezi kuona mabaya ya mfadhili wako,
Mm siko upande wowote ila naweka ukweli wazi tu, ukifanya mazuri dunia inakutambua faster wala haikawii,
Watu wanauawa, wanapotea kuliko kipindi chote tangu tumepata uhuru ww unasema damu haimwagiki!
Jumuia za kimataifa zimetoa tahadhari mara kadhaa yakiwemo mashirika ya haki za binadamu kuliko wakati wowote na ni suala la Muda tu wazee wa dunia watamvalia njuga, ngoja wamalizane na North Korea mwaka Huu then next ni Jiwe..
Tumbo baba,tatizo lako tumbo mzee huwezi kuona maovu
 
Azory gwanda???
Ben saanane?????
Aquiline Aquiline????
HESELB 8% to 18% deduction?????
Political assembly???
Annual statutory increments?????
Promotion?????
WATOTO WA WAFANYABIASHARA, WALIOSOMA PRIVATE, HAKUNA MIKOPO HESELB??????
[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135] haya mpe tuzo
Kwa saksessi hizo nampa tuzo ya Mo faya
 
[HASHTAG]#djsepetu[/HASHTAG] weye unafaa kubebishana na akina miss nanilinhii kule Chit Chat. Siasani hapakufai. Utalamba za uso hadi ujambe cheche.
 
Wewe unataka Mwenyekiti wako adhalilishwe, ngoja waje utajuta kuleta huu uzi hapa

Wanao muharibia Rais ni watendaji wake wakishirikiana na wale wapinga Azimio la Arusha, hakuna kuwa na nyadhifa mbili, hukuna kujilimbikizia mali, hakuna kuwa na mishahara mikubwa kama million 30 kwa mwezi, nyumba bure, gari bure, wafanyakazi wawili wa nyumbani bure, bure maanake kwa kulipiwa na serikali au shirika la umma, hakuna kufanya mikutano nje ya Tanzania, kuweka sahihi mikataba mibovu kwa kupewa zawadi ya pickup! Kama Rais hatakuwa makini, atatupiwa lawama tu.
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Hii tuzo si kama vile report za twaweza. Lazima kiongozi afanye makubwa sana ili jicho limuone. Otherwise mpaka sasa hajafikia level ga kupewa hiyo tuzo..
Kuna mengi anatakiwa atimize kwanza.
 
Back
Top Bottom