Rais Magufuli anastahili tuzo ya Mo Ibrahim

Mwenyekiti wa bodi ni dr salim ahmed salim unamfahamu vizuri dr?
 
Huyo mwenyekiti wenu ni mtata tangu kuchaguliwa kwake...(wizi wa kura) alipewa ushindi na NEC yaani ni mshindi wa Kailima Ramadhani na Mzee Lubuva !
Atapewa tuzo ya shada la maua siku ya mazishi yake!
OVER
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Hawezi kupata hata iweje.Labda hiyo tuzo ikitolewa na UVCCM
 
Kwani kwenye list ya sifa ipo ile ya kuwafunga wabunge na viongozi wa upinzani? Sifa nyingine ni ile ya kufukuza mtu kazi mbele ya kadamnasi au? Hizo ndizo kubwa kwake. Tunaongelea utawala bora kwa maneno na matendo. Vitu anavyovifungua vilipangiwa budget kabla hajafikiriwa kuwa Rais.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Kama ni hivyo basi tuanze kumpa Idd Amini Dada wa Uganda enzi hizo. Wajukuu watachukua kwa niaba yake. baada ya hapo sasa tuje kwa huyu pacha wake kimatendo na kimwenendo.
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Ama kwa hakika akutukanaye hakuchagulii tusi !
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Atapewa tuzo na mamako maana nasikia si mchoyo kabisa
 
DJ sepetu "" naona umerithi jina LA ukoo wa MZee sepetu " ukaona urithi pia mpaka tabia za wema sepetu "" nilikwambiaga akili zako na za wema hazina tofauti "" naona leo umeongea utumbo uliowatia mods kinyaa mpaka wameona bora wakupatie mwenge ukimbie nao """......
Achana na huyo shoga
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Hata unaloliandika hujui maana yake
 
DJ sepetu gwiji Wa chitchat nakusalimu
 
Back
Top Bottom