Rais Magufuli anastahili tuzo ya Mo Ibrahim

Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
We unamatatizo ya akili? Haa!
Kweli njaa mbaya endelea kujipendekeza vyeo bado vipo utapewa tu.
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.

He will have it trust me.
 
DJ sepetu "" naona umerithi jina LA ukoo wa MZee sepetu " ukaona urithi pia mpaka tabia za wema sepetu "" nilikwambiaga akili zako na za wema hazina tofauti "" naona leo umeongea utumbo uliowatia mods kinyaa mpaka wameona bora wakupatie mwenge ukimbie nao """......
Hhhuhu
 
Mpe basi!
 
Acha kujipendekeza. Kuna vigezo maalum vinafuatwa,kama kweli anastahili vuta subira. Kuhusu unyonge hilo ni lako pekee.
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Umemaliza?
 
Kiukweli Labda mahakama ya the Hague ndio anayostahili so far,
Jamaa hana hata tuzo moja ya kimataifa,anatakiwa sasa abadilike maana ni aibu kwa rais kuishi kama yuko kisiwani, dunia inamtambua makamu wa rais mama Samia kuliko Magufuli, na hili ndo tatizo la kunyanyasa watu... Ni aibu kuonana na dunia ya wastaarabu UNATENGWA KISIASA!
Ivyo.. Kujaribu kumtafutia Kiki za tuzo ni sawa na kutafuta bikira ktk wodi ya wazazi
Jifunze kuyaona na kukubali mema na mazuri yanayo tokea katika nchi yako hata kama una chuki ya kuwa upande wa ma-looser.

Nitajie nchi duniani ambayo kiongozi wake within a short periode kaleta nidham maofisini na kupunguza rushwa kwa kiasi kikubwa namna hiyo bila kumwaaga damu wala kumnyoshea mtu mtutu hasa katika nchi za kiafrik ambako u-nepotism umeshika mkondo wake.

Magufuli ameweza na anastahili tuzo. Na atapata tuzo hata kama sio leo, lakini iko siku, hata kama yeye mwenyewe hata ishuhudia kuna Generation itakuja kumkumbuka na kumpa anacho stahili.
 
Tupe na sisi vigezo ulivyotumia, na sisi iutoe
Maksi

Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu

Tupe na sisi vigezo vya tuzo la MO nasi iutoe makali
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Agepata lakini suala la demokrasia linatamkosesha.Si muumini wa demokrasia na uhuru wa kujieleza.Yeye ni muumini wa maendeleo!!!
 
Tuzo hii hutunukiwa marais wastaafu ambao katika utawala wao wameifanyia mema nchi na watu wake.

Mwaka Helen Johnsen Sirleaf ndio mshindi Wa tunzo hii.

Kwa hakika Rais wetu anapaswa kutunukiwa tuzo hii maana kabla hata ya kumaliza kipindi cha kwanza amefanya mengi mazuri.

Mwenyekiti Wa tuzo the Salimu Ahmed Salimu sikiliza ombi letu wanyonge.
Nijuavyo mimi hii tuzo hutolewa kwa Marais wastaafu ambao waliongoza mataifa yao kwa kuzingatia utawala wa sheria, haki za raia na demokrasia.

Tangu lini imeanza kutolewa kwa kigezo cha udikteta?
 
Jifunze kuyaona na kukubali mema na mazuri yanayo tokea katika nchi yako hata kama una chuki ya kuwa upande wa ma-looser.

Nitajie nchi duniani ambayo kiongozi wake within a short periode kaleta nidham maofisini na kupunguza rushwa kwa kiasi kikubwa namna hiyo bila kumwaaga damu wala kumnyoshea mtu mtutu hasa katika nchi za kiafrik ambako u-nepotism umeshika mkondo wake.

Magufuli ameweza na anastahili tuzo. Na atapata tuzo hata kama sio leo, lakini iko siku, hata kama yeye mwenyewe hata ishuhudia kuna Generation itakuja kumkumbuka na kumpa anacho stahili.
Hivi unaelewa kuwa rushwa sasa hivi inakua na kushamiri kwa namna ya ajabu?
 
DJ sepetu "" naona umerithi jina LA ukoo wa MZee sepetu " ukaona urithi pia mpaka tabia za wema sepetu "" nilikwambiaga akili zako na za wema hazina tofauti "" naona leo umeongea utumbo uliowatia mods kinyaa mpaka wameona bora wakupatie mwenge ukimbie nao """......
Kwani Mo wameanza kutoa tuzo kwa madikteta na maviongozi yenye roho mbaya kwa raia wake????evidences tafadhali
 
Back
Top Bottom